huu ni utataaaaaa a a a a a a a!

Mwambie washkaji ka wa 5 hivi wamemsifu 0713 yake ni ndogo ndio maana umempenda.
 
ndio huyu huyu mkuu, nashangaa hata raia wanavyohangaika kumshauri kiazi kama huyu mwenye kupotezea watu muda...

wana muda kama huo. Kuna mwingine yule anaitwa gogle,mada zake ni kuhusu ngono tu. Na watu wanamjibu!
 
wadau kuna m'babez wa ukweli nimemtemea madini huku na kule mara akaniuliza kwanini umenipenda mimi sio mtu mwingine. . .daah nimezinda unajua imagine kama ungekua wewe ungejibu nini?

NB:Majibu fasta asee ilinimjibu nipo nae online

Mwambie hata wanaJF hawajui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…