Huu ni utapeli unaofanywa na watumishi wa FADIKA (letshego tz) watumishi tuwe makini.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,750
2,391
Jamani tuwe makini kukopa kwenye taasisi za kifedha tusikuwa na uhakika na huduma zake.

Faidika wanajaribu kufanya wizi kwenye mshahara wangu kwa kutumia jina la hazina na docment feki na Nimekuta hawa jamaa wamepeleka makato upya kwenye mshahara wangu kwa utumishi. tshi MEATU zaidi ya tsh 2500,000/- ambayo natakiwa nikatwe kuanzia mwezi wa pili mwaka huu.

nilishawahi kukopa tsh 1550000/- mwaka 2012/13/3 na kukatwa tsh 83200/- kwa miezi 48 yani jumla tsh 3900000/ hivi. makato yaliishia march 2016.

Huu ni utapeli mkubwa.
licha ya kuwasiliana na offisi ya wilaya, ya mkoa wa mwanza ya alieleta makato na kupewa majibu tofauti tofauti kabisa. Mara waseme sidaiwi. mara nadaiwa laki moja eti kunamwezi usiojulikana sikukatwa bado wanaonekana kufanya wizi huo.

Mfano. Niliwasiliana na GEORGE alieleta orodha ya makato akasema imekuja kimakosa atayatoa namba yake +255 767 006 154 wa Mwanza pia 0786 006 155 Henry wa Mwanza ambae nilimtumia hadi ushaidi whatsap wa sarary slip na bank statment.

Alipokea sim yangu awali tukaongea nae akaanza kunishugulikia gafla akaacha kupokea cm na kuanza kuizima kabisa. makao makuu wakasema nadaiwa laki ila hawajui chanzo cha deni hilo.

Jamani watumishi tuwe makini mi check namba inaishia........ 264414 hawa jamaa hawafai ila hawataiba ata senti yangu nikiwa hai.

Nakusudia pia kutoa shutma dhidi ya utumishi kwani docment iliyotumiwa haikutosha kuanzisha makato hayo.
 
Faidika kama serikali inatusikia inatakiwa kufutwa kabisa. Kuna mwalimu alienda kukopa kwao harafu aliyemhudumia akachukua salary slip yake na picha yake akaenda kukopa Platinum, so baadae mwalimu akaanza kuona makato mara 2. Faidika ni wahuni sana.
 
upitia tukio langu ntahakikisha utapeli huu unakoma uzuri najua pa kuanzia
 
Faidika kama serikali inatusikia inatakiwa kufutwa kabisa. Kuna mwalimu alienda kukopa kwao harafu aliyemhudumia akachukua salary slip yake na picha yake akaenda kukopa Platinum, so baadae mwalimu akaanza kuona makato mara 2. Faidika ni wahuni sana.
Sasa kuna hatua gani zilizochukuliwa?
 
Back
Top Bottom