Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,205
- 48,748
Hicho alichofanya na kubakwa kuna uhusiano gani?Wataachaje kubakwa kwa mtindo huo
Wazuie mziki hawaweziππMimi naona ni sahihi kabisa.
Huwezi kuzuia kazi za shetani huku ukimkumbatia shetani.
Muziki ni kazi za shetani na hicho alichokifanya zuchu ni miongoni mwa kazi za shetani za kueneza uzinzi.
Labda serikali izuie mziki kiujumla
Huko alikoonyesha kuna nini na nini vitajeHicho alichofanya na kubakwa kuna uhusiano gani?
Kwahiyo mamlaka ya kuzuia kazi za kishetani kapewa mtu anayemkumbatia shetani.!?Mimi naona ni sahihi kabisa.
Huwezi kuzuia kazi za shetani huku ukimkumbatia shetani.
Muziki ni kazi za shetani na hicho alichokifanya zuchu ni miongoni mwa kazi za shetani za kueneza uzinzi.
Labda serikali izuie mziki kiujumla
Yes.Kwahiyo mamlaka ya kuzuia kazi za kishetani kapewa mtu anayemkumbatia shetani.!?
This is deep.
Ndio ndio mabadiliko ni hatua, kama ambavyo mmezoea vingine hata hili mtalizoeaHawa ndio hutumika kukusanya watu ktk mikutano yao.
π€£π€£π€£π€£Mzee acha ushamba title ume weka ya kutisha halafu hakuna cha ajabu au una muonea wivu zuchu? Dambua basi na ww tuone uto tu tako twako tulivo pandiana kama vitunguu
Cha msingi dhambi haikemewi na wala hupaswi kuwatenga watendao matendo ya dhambi.Kwahiyo tunakubali kushindwa.
1.Kuvaa mawigiVingine vipi!?
Sawa..watenda dhambi hawapaswi tengwa. Lakini mtenda dhambi mwenye mapesa mengi tena ya kishetani, unaanzaje kaa nae akuelewe.!?Cha msingi dhambi haikemewi na wala hupaswi kuwatenga watendao matendo ya dhambi.
Nini kifanyike?
Wana wa nuru waonyeshe nuru yao ambayo wana wa giza wataikimbilia.
Tatizo wana wa nuru hawana nuru ya kutosha that's why wanatumia nguvu nyingi kuwavuta watu nuruni.
πππ―π―Cha msingi dhambi haikemewi na wala hupaswi kuwatenga watendao matendo ya dhambi.
Nini kifanyike?
Wana wa nuru waonyeshe nuru yao ambayo wana wa giza wataikimbilia.
Tatizo wana wa nuru hawana nuru ya kutosha that's why wanatumia nguvu nyingi kuwavuta watu nuruni.
Huyo mtenda dhambi mwenye mapesa ni vyema umwache atumie pesa zake. Wewe deal nao wana wa giza wenye maisha magumu, wagonjwa, wenye mateso mbalimbali hao watakusikia na kukuelewa haraka kuliko matajiri .Sawa..watenda dhambi hawapaswi tengwa. Lakini mtenda dhambi mwenye mapesa mengi tena ya kishetani, unaanzaje kaa nae akuelewe.!?