Huu ni ushenzi uliopitiliza

Watanzania tumeumbwa kulalamika tu....

ni kweli mkuu mimi nadhani mshana jr ulitakiwa kuja na strategy jinsi ya kumuweka wazi huyo jamaa maana hata watoto wa mtaani kwenu hawawezi pona
 

Hakuna alitaka uweke picha?
 

mara nyingi huwa wanakula binti na mama yake au binti na dada zake, hii ya kula dada na kaka yake ni hatari mno?

So far, umechukua hatua gani?
 
Acha kudandia mjadala wa watu kwa mbele utaumia...............

umesoma nilichoandika au ndiyo kukurupuka?

as.shole............

situkaniki ndugu yangu! hv unajua huo mjadala nani kauanzisha? pitia tena utaona nani kadandia gari kwa mbele! kwako asshole umeona ni bonge la tusi!pole
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha na isitoshe jama kadata na mdogo mtu hahahhahahaahha si amuombe dada mtu tu awe ana tumia tigo na voda iiili aachane naa huyo wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…