Wewe umeshaona tatizo, umeshachukua hatua gani hadi sasa kutatua hilo tatizo?Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
Jibu kwanza swali ndipo uulize swali lako!wewe ungechukua hatua gani?
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
Ikipita siku bila kuanzisha thread angalau tatu, mi ntabadili diní. We unamfaa sana Shigongo.

spare my ribs jamani khaaaa!!!!!!!!!!!!
haya sasa umeamkaje wewe lkn??
Hahahaaaaa! yeuuwiii walaahi JF.