Huu ni ushamba au ujanja?

Huu ni ushamba au ujanja?

kuna wapo wanatembea huku wanatingisha kabisa..
 
Kwetu sisi wamasai, ni mila zetu za asili kwa wanaume kusuka, wanawake hawaruhusiwi kusuka (ila washabadilishwa na utandawazi)...ila kwa makabila mengine ni ULIMBUKENI TU. Pia huku porini kuna baadhi ya mimea ina harufu nzuri sana, huwa tunatengeneza mkufu kwa kutumia mimea hyo na kuvaa shingoni au kufungia mkononi na harufu yake hudumu sana...ila kwa upande wa kusuka tuna mtindo mmoja tu, ukiona aliyesuka tofauti ujue kachepukia mila na desturi za watu....
 

Wabongo bhana..sasa wewe unakerwaje na lifestyle ya wengine?

Kama mtu havunji taratibu za jamii yake,mwache aishi atakavyo na wewe ishi upendavyo.

Kwa hiyo hata ma-moran (wamasai) wasukao wanakukera?

Hamia msituni huko hakuna nyani wa kiume anayesuka.
[/QUOTE hilo ndo tatizo hata kwenye ndoa watu hawadumu
yaan maisha ya mtu baki yanakutesa hivi je mkeo au mumeo itakuwaje? mi,i hadi dady katoboa sikio,na bf bia sasa nashangaa
 
hereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa

Kama hujaolewa basi jiandae kuja kuolewa na shoga
 
vipi ukimuona baba yako amevaa hereni na kapiga dawa nywele.!? sianakuwa kama msanii wa hollywood.!

hahahaahh eti nikimuona baba angu nimuone mara ngapi

mimi masai huo ni utamaduni wetu wanaume kwa wanawake

tena dady katoboa kitobo kidogo sana ukikaa kwa mbali huoni

am glad my boy also did that japo si utamaduni wake lakini it kill me i love it

coz kikwetu mwanaume anavaa ushanga(cheni ya shingoni) mmoja na kuendellea na hereni mbili na kuendelea

hadi kikuku ni asili yetu watu wameiga tu

thanx God nimempata mpenzi anaependa tamaduni zetu than i do
 
hereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa
Unataka wasanii wanaume wa Tz wavae kwa sababu waigizaji wa Holywood wanavaa.Ina maana msanii wa Holywood akiwa shoga na msanii wa Tz awe hivyo, maadam kitendo hicho kimefanywa na msanii wa Holywood....Haiingii akilini@masai dada
 
Unataka wasanii wanaume wa Tz wavae kwa sababu waigizaji wa Holywood wanavaa.Ina maana msanii wa Holywood akiwa shoga na msanii wa Tz awe hivyo, maadam kitendo hicho kimefanywa na msanii wa Holywood....Haiingii akilini@masai dada

lengo langu halikuwa hilo mkuu

lengo langu ni kwamba kutoboa masikio ni life styl la mtu na pengine ni utamaduni kama wa kwetu mimi nikimuona mtu hata katoboa macho huwa sishangai wala hainiumizi kichwa

binafsi baba katoboa tena kitundu kidogo sana kwa mbali ndo unaona

alafu sijaongelea ushoga wala ksuruali mlegezo
 
Wafanye tu, ila kama ni mwananangu namtahiri kwa chupa au bati.
 
Maisha ni kuchagua kibaya kizuri juu yako waacheni
 
acheni ligi,its true kiranga,but am telling you that shyt is ----d up better be natural

Natural to whom?

One man's meat is another's poison.

To London, "down" is the Antipodes, to the Antipodes, "down" is London.
 
Kikavirondo ni kitu gani? Nimetumia kenyan swahili, mbona we mgumu sana kielewa? Yani unawezaga tu kukariri misamiati ya kizungu, vingine hata hujiongezi

Hicho si Kiswahili, kajifunze Kiswahili.

Na "unawezaga" pia si Kiswahili.

Labda Kikavirondo chenu huko mnachokiita Kiswahili.
 
Andika kitu kieleweke, unasema freedom of expression,wapi na nani alietoa hiyo kitu, google is not the ans to all question mate

Eleweka

Kitu si "hiyo", kitu ni "hicho".

Jifunze Kiswahili, usituandikie Kikavirondo ukafikiri unaandika Kiswahili hapa.

Freedom of expresion as the zeitgeist of Tanzania and Jamiiforums.

Read the banner above concerning that.
 
kumbe ni tamaduni zenu hapo hakuna shida because hata hizo hereni na shanga anazovaa baba yako ni za asilil hii haina shida,
 
Back
Top Bottom