Huu ni ushahidi Mkubwa wa moja ya Madhara ya CCM hapo nyuma

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,252
2,852
Hawa wasanii walitumika sana kwenye kuishabikia ccm malipo yao wawe huru kufanya biashara hii ya hovyo na pia pindi washikwapo wasikae jela. Tunakumbuka kijana huyu Chid Benz ashawah shikwa na madawa ya kulevya kesi yake ikaenda enda akaaachiwa.

Tunakumbuka wasanii wengi wa Bongo Movie na Music walivyokuwa wakijihusisha na madawa kuna waliowah kamatwa huko china, south afrika n.k hata hapa ndani wakaachiwa.

Wapo watoto wa wakubwa ambao wamefanya sana hii biashara ya kuwadhuru kaka,dada zetu na wadogo zetu kwa kuwauzia na kuwatumia kama punda.

Inafahamika kabisa wanasiasa na watoto wa wanasiasa waliofanya biashara hii. Kwa waliosoma chuo cha diplomasia watakwambia namna ambavyo wanafunz weng pale walikuwa wanashawishiwa kujiingiza mwenye biashara hii.

Huyu chid ben ni moja ya matokeo ya tulicholea awamu ya nne. Bila hivyo asingefika hapa. Na bado kuna wanafiki wa kidini watatetea wenzao kwa sababu ya uislam wao na ukristo wao.
"Kilichompata ungo na kibeku pia kitampata tu"
IMG-20161230-WA0022.jpg
IMG-20161230-WA0021.jpg
 
Huyu ndio basi tena..

Naona Babu Tale alijifanya anamsimamia.. akamsapoti kutoa ile single..

Single yenyewe haiku-hit.. Tale akammwaga.

Cheki Chidi alivyo mchafu...sifa yao kuu ya mateja..!!

Duu madawa noma.
 
Back
Top Bottom