tufanyaje kiongozi mana wanarudisha maendeleo ya watu nyumaTena gusa kwingine sio Guruneti Bwana, Huko ndo Mkuu wa Kaya huenda kupumzika. Hao walie tu wala huyo DC hawezi kufanya lolote. Hao Maaskari wanaofanya hao sio wa kitanzania wametoka South Africa. Yaani wewe ulizia akina Mura watakwambia ukweli. Hiyo si ndo Kamati ya ya Bunge ya Mashirika ya UMMA iliyokuwa chini ya Shelukindo ilitolewa nduki walipojaribu kwenda kuwasikiliza mambo yao?
ACHA KABISA HIYO NDO IMETOKA, HATA HUYO GEORGE MARATO AJIANGALIE JAMAA HACHEZEWI KABISA.
Sasa tuko kwenye yale tuliyowahi kusoma kwenye Mine Boy enzi za Elimu ya Awamu ya Kwanza.
tupe zingine mkuu mana ni noumaaaaaaaaNasikia story nyingi kwenye hiyo hotel ya kimafia
mkuu tunarekebisha vip hi hali?
mana tayari umaskini umeshamrudia uyo mmiliki wa iyo mifugo
dah afu kama wanaua na watu aiseee
mbunge wa eneo lile ni nani?labda 2anze kumuliza kulikoni vileMkuu hii hali itarekebishwa na sisi wananchi kwa umoja wetu. Tuungane bila kujali dini, vyama, makabila wala jinsia! Hawa wadhalimu waliolewa madaraka ni wa kutimua na kufanywa kama Gadafi! Kete ipo kwetu!
ndo kumaanisha usemi wake unatekelezwa sio?Ndio ahadi za pinda hizo nadhani na hizo mifugo ni mikorofi dah pinda utalaniwa usiku na mchana
mbunge wa eneo lile ni nani?labda 2anze kumuliza kulikoni vile
kweli mkuu,mana kunajambo nataka nimwandikie,,,Wasira
Khaaa! Jamani muda mwingine tuwe na utu. Embu assume hao ng'ombe wangekuwa wa babu yako wewe askari ungejisikiaje? Mnajua mmemtia hasara kiasi gani mwenye hao ng'ombe kisa tu wameingia kwenye hifadhi?
Kumbukeni hao ni wanyama na ulekekeo wanaopelekwa wao huenda huko huko, wanahatia gani ya kukatishwa maisha yao gafla tena kinyama? [maana naimani watakuwa wamepigwa risasi tu]. Wangekamatwa watu waliokuwa wakiwachunga na sheria kufuata mkondo wake.
This hurts me really.