Huu ni ulimbukeni au ushamba?

Huu ni ulimbukeni au ushamba?

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
537
ATC3-1024x682.jpgKuna umuhimu gani wa shela kwenye ndege ya kukodi na ya shirika?


ATC1.jpgNa keki ya nini?
 
wanashereke rise from grave , wacha wajipongeze coz wamekosa ulaji muda mrefu
 
Mkuu kwenye shela ulimaanisha shada la maua???
 
Ni nani middle man kwenye hiyo ndege,Rostam au Manji?
 
Sijui kama wamefanya research hawa jamaa zetu nao. Mkodishaji ni eastern-european misheni tauni kweli.
 
Sijui kama wamefanya research hawa jamaa zetu nao. Mkodishaji ni eastern-european misheni tauni kweli.
asante kwa elimu.
kwa hiyo bado ni pale pale.rais misheni town,na raiya wake tunaenda sambamba.
 
Back
Top Bottom