1.
Masatu, you know better than this, Dr. Slaa ni member mwenzetu na si member kwa sababu ya ubunge wake, bali ni member kama mimi na wewe kwa sababu ya u-Tanzania wake,
JF hatuna sheria ya kuwalazimisha members kuzungumzia personal ishus zao, tunam-treat Dr. Slaa hapa kama mwananchi ni hiari yake na sio lazima ku-deal hapa na ishus za bunge,
Lakini kama inabidi aongelee his personal ishus, inapaswa kua a mandate kwa wote kwa sababu Masatu ni nani aliyekuambia kuwa hatutaki wewe uje kua rais wetu? Au members wengine hapa JF nani aliyesema kuwa hatutaki waje kwua marais wetu in the future kama hicho ni kisingizio cha kumfanya DR. Slaa aongelee his personal?
2.
Mjadala wa Marehemu Amina Chifupa, Mbunge na Zitto, Mbunge ukimjumuisha na Nchimbi, Mbunge you know better kwamba ulikuwa na facts nyingi sana zinazotuhusu taifa, ndio maana tulimshambulia sana Zitto, me included,
Nchimbi alimuandikia barua Mkulu wangu Med-Mpakanjia akimshitaki Amina mbunge, kuwa anatembea na mtu, hiyo barua ikaishia kuwa chanzo cha kutalikiwa kwa Amina na mumewe, huku Amina akiwa anatafuta kua mwenyekiti wa UV-CCM cheo cha Nchimbi, ghafla Amina akafariki I mean unaweza kul;inganisha hii ishu na what you guys are making out of Dr. Slaa?