Codefucious
Member
- Aug 19, 2017
- 30
- 44
Kama hujaisoma bibilia vizuri basi huna haki ya kuisemea kama unavyosema sasa ivi..KUNA USEMI HADI LEO WANAAMINI KUWA SIKU MOJA MBINGUNI NI SIKU ELFU MOJA DUNIANI ILA UKIANGALIA DUNIA IMEPITA MIAKA ZAIDI YA BILLIONI OF YEARS HADI PALE WALIPO JUA KUHESABU NA KUANZA MWAKA 1 HADI SASA 2019
BAADHI YA COMMENT ZA HIGH LIGHT
Imani hizi!!
Kuna wakati nakengeuka, if God was do loving, asingeruhusu watu waumie kiasi hiki, duniani watu wanauliza sana.
The wealthiest make only 1℅ of the world's population. Watu 8 duniani wana utajiri ambao unamilikiwa na 3.6 billion poor people. Where is God to make the world "even"?
mwache afe kwa ujinga wake,hatofautiani na jirani yangu alikuwa ni mwathirika wa HIV na akawa anatumia ARV akawa vizuri tu,sijui mpuuzi gani akamdanganya aokoke kwenye kanisa flani linaitwa SILOAM,huko wakamwambia aache dawa YESU atamponya,wee...saiv ana mwezi analiwa na mchwa huko chini ya kaburi,hivi haya makanisa huwaga yanasajiliwa kwa kutumia vigezo gani?
na waumini wao huwaga wana akili gani hadi tushindwe hata kushabihiana?
kifupi kila mlokole huwaga namwona kama ubongo wake una mafuta ya taa..
Mkuu, duniani watu wanaumia sana, maisha magumu, masikini ni wengi sana. Mungu anaruhusu vipi watu wake waumie kiasi hiki, kwa nini asifanye jambo haya yaishe? Ukienda sehemu kama ocean road, muhimbili na mahospitalini ndio utajua kuwa people are really suffering.
Kwa nini Mungu asitihurumie, asitupe ahueni sote tukafurahia maisha, kwa nini only 1% ya wanadamu ndio wana maisha ya kitajiri?
Wapagani kibao wanaishi bomba sana, wewe na mimi tunaosali/ swali kila siku tunaishi terrible lives.
At times you think hizi ni propaganda za mtu mweupe kumteka akili mtu mweusi, wajua sisi tunabeba kila tunaloambiwa, tumekuwa mateka wa watu waeupe.
Hao weupe walioleta ukristo wala hawana time na imani yao.
Kuna mdachi(Dutch) mmoja aliwahi kuniambia, religion is for poor people, even in Netherlands only the poor go to church, there's nothing like Jesus or God. Nilibaki mdomo wazi.
View attachment 781166
Neno "dini" kama lilivyotumika katika karne ya 21 haina tafsiri ya wazi ya ukoloni katika lugha zisizo za Ulaya. Mwanadamu wa kibiblia Daniel Dubuisson anaandika kuwa "kile Magharibi na historia ya dini katika wake wake wamepinga chini ya jina 'dini' ni ... kitu cha pekee kabisa, ambacho kinaweza kuwa sahihi tu na yenyewe na historia yake mwenyewe." Historia ya ushirikiano wa tamaduni nyingine na kikundi cha "dini" kwa hiyo ni mwingiliano wao na wazo ambalo liliendelezwa kwanza katika Ulaya chini ya ushawishi wa Ukristo.
View attachment 781208
Wengi huko makanisani hutumia picha ya Brian Deacon kumhusisha Yesu, that's unacceptable kabisa.
View attachment 781255
ANGALIA HIYO VIDEO HAPO JAMAA ANATUPWA TU AKIMALIZA ANACHUKUA MPUNGA WAKE SAFI
https://www.facebook.com/video.php?v=953685034838011
Maana Bibilia ndio kutabu pekee kilichoonesha uwezo wa kutabiri matokeo yatakayotokea (future events) na ni dhahiri kwamba nguvu ya Neno la mungu hata hao wazungu wenyewe wanashindwa kuielewa.
ukiweza kuangalia picha nahisi utaelewa kila kitu we tazama hizo picha vizuri utaelewa ukweli wote
Asili ya hiyo mizimu ni nini? Utajuaje vilevile kama hapa kuna mizimu au inakuwa kuwaje?
Sasa sioni mantiki ya kukandia Muslims na Christians kuhusu imani zao
Kitabu kiliandikwa miaka 3000 iliyopita lakini inatabiri mambo yanayotokea leo hii... Huwezi kufananisha na utabiri unaosemea wewe uo wa kama odds za kubet..Kutabiri matokeo hata hii leo wengi wanaweza kutabiri yatakayotoke baadae kutokana na yaliyopo na yanayoendelea..
Wazee wetu waliokufa,katika ukoo wetu,mimi nina baba na mama yangu ,nao wana baba na mama zao, nao wana baba na mama zao................,
Mkuu hii ni kweli kabsa nmewah kuishuhudia livepambana na hali yako
Africa tumepokea hizo kama ni za hapa lakini kwao wala hawasali mbaya zaidi akisali mpagani ili mvua ije na inakuja Ila wewe unaiamini dini holaaaa
asante sana nahisi ume mjib vizuri tuKutabiri matokeo hata hii leo wengi , wewe ukiwa mmoja wao wanaweza kutabiri yatakayotokea baadae kutokana na yaliyopo na yanayoendelea..
Aonaye na afahamu!
wewe ndo hujaelewa vizuri ngoja nita rekebisha uzi kwa uzuri zaidiBrother ,nmesoma uzi wako mwanzo , ila nikajisikia ugumu kukoment ....nmerudi ,, kama unaielezea dini kupitia ivi vipicha vipicha ..basi unakazi kubwa ya kufanya.
View attachment 781623View attachment 781624
Kama kizazi hicho cha Kale ndio kinatumika kama Mizimu ya watu wa sasa, je kizazi cha sasa kitakuja kutumika kama Mizimu ya watu wa baadae??Wazee wetu waliokufa,katika ukoo wetu,mimi nina baba na mama yangu ,nao wana baba na mama zao, nao wana baba na mama zao................,
Bora wewe mkuuBinafsi ngoja niendelee na kutambika tu.
Kama kizazi hicho cha Kale ndio kinatumika kama Mizimu ya watu wa sasa, je kizazi cha sasa kitakuja kutumika kama Mizimu ya watu wa baadae??
Yaani je wewe utakuja kua mzimu wa watu wajao huko mbeleni wawe wanakuomba wewe wa sasa ulietangulia uawasaidie na kweli ukawasaidia??
Usiwe una tabia ya kujibu swali kwa swali,Imani kwa mizimu, kuamini mizimu.
Maana ya neno imani , na kitendo cha kuamini unakifahamu?
mi nikiwa mzimu wa baadae nawaambia wafungue uzi wa ontario kisha wapambane na hali zaoKama kizazi hicho cha Kale ndio kinatumika kama Mizimu ya watu wa sasa, je kizazi cha sasa kitakuja kutumika kama Mizimu ya watu wa baadae??
Yaani je wewe utakuja kua mzimu wa watu wajao huko mbeleni wawe wanakuomba wewe wa sasa ulietangulia uawasaidie na kweli ukawasaidia??
Imani kwa mizimu, kuamini mizimu.
Maana ya neno imani , na kitendo cha kuamini unakifahamu?
Ha ha haami nikiwa mzimu wa baadae nawaambia wafungue uzi wa ontario kisha wapambane na hali zao