Huu ni ukweli mtupu!, chezea makabila pendwa wewe

Huu ni ukweli mtupu!, chezea makabila pendwa wewe

Van gaal

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
265
Reaction score
107
Phonebook ya
Mchagga

1. Massawe Muuza
pumba.
2. Lyimo wa vifaranga.
3.Shirima dk mifugo
4.Tairo duka la jumla
5.kimario wa Bia za magendo
6.Mushi mchoma
nyama
7.Uiso wa pikapu ya
ndizi
8.Ngowi wa chakula cha Nguruwe
9.Mramba kitimoto
10. Yasin dreva wa
semitrela
11. Mamlang'a wa
shambani Bunju

Sasa tunaingia kwa
Wazaramo

1.Mwajuma
msasambuaji
2Maimuna Msutaji
3. Joni Muuza Shanga 4.Mariam wa Kichen
party
5. Moze mchora Hina
6. Kefa Dj vigodoro
7.Issa Ndambi Muuza
viungo vya pilau 8.Rama Mganga wa
Mapenzi
9. Faki mpiga ngoma
mbagala
10. Kiponzile mtabiri
nyota Msanga

Sasa wahaya
1. Prof Rweyemamu
wa BOT
2. Mr Rugashumba
msaidizi wa raisi sera
na mipango 3. Padre Katabaro wa
parokia ya
Kamachumu
4. Mr. Rwelengera
afisa biashara ATC
5. Kaijage mwalimu MUHIMBILI
6. Mr. Rwechungura
wa WORLD BANK
7. Birungi mkaguzi wa
mahesabu PWC
8. Mama Ndyetabura wa UNDP
9. Shubi mkurugenzi
TAKUKURU
10. Kisiraga muhasibu
mkuu TRL
11. Prof Rutakangwa Head Upasuaji
Muhimbili!
 
teh!teh!...hebu ongezea na weye kabila lako!
 
Halafu angalia nani ana pochi kubwa benki
 
Wakurya:
1. Gen. Marwa: mkuu wa majeshi
2. Lt. Gen. Mwita: mkuu wa kamandi ya anga
3. Brig. Gen. Chacha: mkuu wa kikosi cha kutuliza Amani cha Umoja wa mataifa
4. Col. Ryoba: Afisa tawala, makao makuu ya jeshi
5: Prof. Kisyeri: Mkurugenzi mkuu wizara ya miundombinu
6: Dk. Mseti: Kitengo cha upasuaji, muhimbili
7: Eng. Bhoke: Afisa mwandamizi, Tanroad
8: Mr. Getenyi: Afisa tawala, ofisi ya Rais
9: Mr. Gikuri: Afisa, ofisi ya Rais
10: Capt. Wankuru: Afisa mipango, JKT
 
we umetisha
 
Wasukuma:
1.Nshishiwe: Mna bukene
2. Le sulenda: Mna nzega
3. Le jigwangala: Mbunge wise
4. Nshomali: Nnadi wa mhunze
5. Kashi kashi: Njinji wa mishigaki
6. Dokita Maneno: sibitali ya shinyanga
7. Le Lameshi: Iduka lya mashine
8. Kulwa: Ele hakimuu
9. Magadula: Njinji wa peteloli
10: Nsamaka: Ntale wa manesi
 
Back
Top Bottom