fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 195
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
Wale si wakristo ni wapagani. Wakristo huwa hawavai mahirizi. Wangekuwa ni wakristo basi waislamu wasingekimbilia kujihifadhi kanisani na wakawa salama
Ukristo haupimwi kwa jina ila ni matendo. Mtu anaweza kujiita vyovyote atakavyo lakini kati ya vitu wakristo wanavipiga vita ni mahirizi. Sasa hao jamaa wamevaa mwili mzima utawaitaje wakristo? Hao ni wapagani wakubwahapo naanza kupata mwanga, najua wakristo hufundishwa kusamehe na kutolipiza, na nadhani wakristo hawana jihadi, bt why wanaitwa wakristo na why waisilamu wa eneo lile ni wanyonge sana? nkijaribu kuwalinganisha na hapa tanzania kwa mfano kule mwanza kwenye ishu ndogo tu ya kuchinja kuna wakristo waliuwawa
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
Church shelters Muslims from Central African killing | NDTV.comwakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
duh! hyo ni balaa, hv chanzo cha hayo machafuko ni nini?
Kilichokufanya ukaona kuwa hao ni waislam ni nini? Je, una uhakika na salama yao hapo kanisani? Neno la Bwana Yesu ni kwamba; Adui mpende na amchukiaye ndg ni muuaji wala hakuijua kweli.
Tumwombe Mungu kwani kila jambo lina wakati wake na kusudi lake chini ya jua. Hatulijui kusudi la hili.