killuminat JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 209 Reaction score 105 Jul 21, 2014 #2 ugonjwa upi
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jul 21, 2014 #3 hata huu mshana!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,419 Reaction score 829,764 Jul 21, 2014 Thread starter #4 killuminat said: ugonjwa upi Click to expand... Huu hapa..!!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,419 Reaction score 829,764 Jul 21, 2014 Thread starter #5 Kibo10 said: View attachment 172418hata huu mshana! Click to expand... Yeah hii inatia huruma kibo 10, nawaonea huruma mno wale mabinti walioharibu vizazi vyao na Leo Hii hawawezi kuzaa tena wanahangaika na midoli
Kibo10 said: View attachment 172418hata huu mshana! Click to expand... Yeah hii inatia huruma kibo 10, nawaonea huruma mno wale mabinti walioharibu vizazi vyao na Leo Hii hawawezi kuzaa tena wanahangaika na midoli
H Hafinyu Member Joined Jun 7, 2014 Posts 27 Reaction score 7 Jul 21, 2014 #6 mshana jr said: View attachment 172417 Click to expand... jaman umemtoa wapi huyu?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,419 Reaction score 829,764 Jul 21, 2014 Thread starter #7 Hafinyu said: jaman umemtoa wapi huyu? Click to expand... Wa hapa hapa lakini sio JF..... Unamfahamu??
Hafinyu said: jaman umemtoa wapi huyu? Click to expand... Wa hapa hapa lakini sio JF..... Unamfahamu??
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,626 Jul 21, 2014 #8 kaugonjwa kapi hako hakana jina?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,419 Reaction score 829,764 Jul 21, 2014 Thread starter #9 Mafikizolo said: kaugonjwa kapi hako hakana jina? Click to expand... Kale kale Ka Siku zote....!!!! Kalikokosa tiba wala kinga
Mafikizolo said: kaugonjwa kapi hako hakana jina? Click to expand... Kale kale Ka Siku zote....!!!! Kalikokosa tiba wala kinga
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,312 Jul 21, 2014 #10 mtani ile picha ya jini iliishia wapi mkubwa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,419 Reaction score 829,764 Jul 21, 2014 Thread starter #11 Marire said: mtani ile picha ya jini iliishia wapi mkubwa Click to expand... DUI acha tuu aisee niling'ang'aniwa niombe radhi kwa kuudanganya umma mtukuka wa Jf nikataka vigezo na basis za mimi kufanya hivyo nikaambulia matusi
Marire said: mtani ile picha ya jini iliishia wapi mkubwa Click to expand... DUI acha tuu aisee niling'ang'aniwa niombe radhi kwa kuudanganya umma mtukuka wa Jf nikataka vigezo na basis za mimi kufanya hivyo nikaambulia matusi