Huu ni ugonjwa wa nitandao ya kijamii....

Huu ni ugonjwa wa nitandao ya kijamii....

ALLEX

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
2,006
Reaction score
346
sasa huu si ugonjwa mraaa...

FACE.jpg
 
Hii mbona kama vile Jela ya watoto watukutu?
 
Hawa ndio watengeneza spam wakiwa chuo fulan huko naija..
 
Nitandio ndo nini? Una maanisha mtandao au mtandio wa ubongo. By the way nilikuwa napita kuelekea jukwaa la siasa.
 
hii safi sana inawafanya wawe busy mtandaoni na wasifanye ujinga wasiwe na tabia ajabu
 
Hawa jamaaa wako bizy sasa sijui na umeme wa bongo kama
inawezekana
 
ungekutaaa kipindii ilee kunaa mitoto mitukutu,hawaaa wangeliaaa...hizoo laptop wanekuwaa washaibiwaaa kitambo wanaliaaa.watu wanaiba ma blangetiii itakuwaje laptop sipatii pichaaa...shule kamaa shighatini<kili boys,kolilaaa,kilongayaaa,shulee zilikuwa na mijitoto mitukutuu
 
Wale wawe hivi kuliko kushinda vijiweni kuvuta bangi. BTW, Nafkiri hii picha ni ya Nigeria na sio bongo.
 
Hawa sio wa Bongo, Mkuu wa hapa hapa haiwekani kila mmoja ana Laptop.
 
Back
Top Bottom