Huu ni ugonjwa wa nitandao ya kijamii.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni ugonjwa wa nitandao ya kijamii....

Discussion in 'Jamii Photos' started by ALLEX, Nov 30, 2011.

 1. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  sasa huu si ugonjwa mraaa...

  FACE.jpg
   
 2. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Na ndo maana vijana wa siku hizi nguvu za uume zimewapungua!
   
 3. Purity Emmanuel

  Purity Emmanuel Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa ni hostel au?dah kila mtu na ya kwake kwahiyo kama huna uwezo nafasi yako ya kufahamu dunia inaendaje ni ndogo
   
 4. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii mbona kama vile Jela ya watoto watukutu?
   
 5. c

  chriss mmari New Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  khaaaa
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Good way to go!
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hawa ndio watengeneza spam wakiwa chuo fulan huko naija..
   
 8. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,544
  Likes Received: 1,537
  Trophy Points: 280
  Nitandio ndo nini? Una maanisha mtandao au mtandio wa ubongo. By the way nilikuwa napita kuelekea jukwaa la siasa.
   
 9. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmbarikiwe!
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hii safi sana inawafanya wawe busy mtandaoni na wasifanye ujinga wasiwe na tabia ajabu
   
 11. driller

  driller JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  unamaanisha nguvu za huku chini ama..?
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  exactly reported recently!
   
 13. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaaa wako bizy sasa sijui na umeme wa bongo kama
  inawezekana
   
 14. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  ungekutaaa kipindii ilee kunaa mitoto mitukutu,hawaaa wangeliaaa...hizoo laptop wanekuwaa washaibiwaaa kitambo wanaliaaa.watu wanaiba ma blangetiii itakuwaje laptop sipatii pichaaa...shule kamaa shighatini<kili boys,kolilaaa,kilongayaaa,shulee zilikuwa na mijitoto mitukutuu
   
 15. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  mkuu niweke sawaa nguvu za kiume zinapunguaa kwa kutumiaaa laptop
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwasababu wanajikalia tuuu na kuzilalia!!:juggle:
   
 17. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wale wawe hivi kuliko kushinda vijiweni kuvuta bangi. BTW, Nafkiri hii picha ni ya Nigeria na sio bongo.
   
 18. R

  Renegade JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Hawa sio wa Bongo, Mkuu wa hapa hapa haiwekani kila mmoja ana Laptop.
   
 19. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  no mkuu si hivyo bali imetengazwa leo magazetini kuwa WiFi inapunguza nguvu za kiume
   
 20. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  i think wanaweza kuwa wanafunzi wa kozi ya IT wana group assignment so wanajaribu kuikamilisha kwa kadri iwezekanavyo.... maisha ya chuo!!!
   
Loading...