Huu ni ugonjwa gani?

Sibhonike

Senior Member
Apr 10, 2011
156
16
>Kutokwa na ute rangi ya kahawia/chocolate ukeni.
>Periodic headache.
>Periodic fever.

Naomba msaada wanaJF na tiba yake ni nini?
Asante sana.
 
Nenda hospital, yawezekana una Pelvic inflammatory disease (PID) kama unatoa harufu.
Wakati mwingine kama unaambatana na vigrapes yaani viyai vinavyofanana na zabibu basi huwa tunasema ni Molar pregnancy. Hivyo wahi hospital upimwe wajue ni nini na upate matibabu. Swali je unaujauzito?
 
Asante sana,
Ndio nina ujauzito na ni wiki ya 2 sasa.
Lakini hili tatizo, leo ni siku ya pili.
Linanipa hofu sana.
 
Nenda hospital hii yawezekana ikawa ni Molar pregnancy, hivyo nenda hospital madr wakakupime. Kama vp waweza niPm niangalie nikusaidiaje kulingana na mahali ulipo. Good luck
 
Nenda hospital hii yawezekana ikawa ni Molar pregnancy, hivyo nenda hospital madr wakakupime. Kama vp waweza niPm niangalie nikusaidiaje kulingana na mahali ulipo. Good luck

Asante sana, nitafuata ushauri wanaJF.
 
Back
Top Bottom