Huu ni ugonjwa gani?

Pole sana mkuu

Hope mtoto atapata tiba sahihi na kupona
 
Hii ni dalili kama tetekuwanga nimewahi kuungua huo ugonjwa nikiwa mtoto
 
Je ana umri gani??.......kama ni Chini ya miezi 9 Acha kumpa samaki WA maji chumvi.......huwa wanapata hiyo allergy.........Ila Kwanza muone daktari Acha ramli chonganishi hapa jukwaani
 
Aisee poleni sana mkuu, vipi mlipata majibu mapya tena hospital?

Kwa muonekano wa awali ni kama tetekuwanga na kama unasema alikuwa anakohoa je na jasho linamtoka kwa wingi sana hasa usiku?

Kama umepata matibabu au tatizo limejulikana utupe mirejesho na kama bado pia useme upo wapi ili walau upate ata ushauri uende hospital gani ili akafanyiwe uchunguzi zaidi.
 
Nashukuru amepona yupo poa sasa
 
Tuambie umetumika tiba gani na ilikuwa ni ugonjwa gani ili tutumie Uzi huu kama stick ya changamoto kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…