nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
excuse my spelling nimelewa hatari[emoji23][emoji23]unaendana na jina lako, anyways mimi pia nipo hivyo tokea mtoto, nikialikwa kwny bday sitaki kwenda na wala ctaki mazoea na watotobwa kitaa, na hadi sasa nipo hivyo sina shobo na mtu na kila mtu anajuabndio character yangu, so na ww itakuabni character yako tu haya usiwaze, being Common is boring
Sent using Jamii Forums mobile app
Subir siku ukipata tatizo kubwa hapo ndani kwako huo ugonjwa utakuisha...Hio ugonjwa ninao saizi
Yaani ni mimi tu sitaki mazoea kabisa
Nikitoka kazini ni ndani, nje labda naenda kununua kitu cha maana, majirani siwajui hata jina, wananionaona na mimi nawaonaona tu
Sitaki shoboo hata kidogo. Sijajua kama ninatatizo lakini
Subir siku ukipata tatizo kubwa hapo ndani kwako huo ugonjwa utakuisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maradhi yatokanayo na shetani,na hutokezea pia mwathirika akachukia hata kuoga na pia kupenda hata kukaa giza totoro. Wakti mwingine huweza kwenda toilet akajikuta amesahau alichoendea!Miaka ya nyuma nikiwa kijana nilikua na tabia flani ya kukaa kimya...naweza kumaliza siku nzima sijaongea kabisa na watu, meseji za watu nilikua si reply...yaani nakua na mood ya kutokutaka mazoea kabisaa na mtu yoyote...nilikua napendelea zaidi kujifungia chumbani..yaani nilikua na mind my own business sitaki kujua kumetokea nn wala sijui fulani kafanya nn....nilikua nikitaka kuongea na watu (kusocialize) lazima ninywe pombe....na nikinywa pombe nakua mtu tofauti kabisaa...napiga story sanaa na naenjoy....watu waliokua wananizunguka walikua wanapenda wanikute nimekunywa...wakinikuta na akili zangu walikua wanaboreka sanaa, mpka leo najiuliza ule ulikua ni ugonjwa gani???