mchonjoya
Member
- Aug 17, 2016
- 81
- 200
Hrb wana jamvi!nije kwenye mada husika.mwanaume anamke harali wa ndoa.ana kimada kakipangia chumba,ana mchepuko wa kudumu,ana girlfriend,rakini bado anazidi kutogoza na kuwatamani wanawake,wengine.swali?kufanya hivyo ni hufahari,kidume sana au nini hasa?inasemakana mwanaamke asipo tongozwa alau Mara tatu kwa Siku hujiona anamikosi,je ndo hari inayotupelekea kua wanaume kuwatongoza ili kufikisha lengo lao LA kutongozwa kira siku?na kwa nini mwanamke ukimuambia ukweli,akuamini,badala yake kuamini pindi akidanywa?na huu usemi unasema wanawake 10 sawa na mwanaume mmoja umetokana na nini?na kigezo gani kimetumika kutoa tasmini hyoo?kama hivyo ndivyo haki sawa inatoka wapi ikiwa ke10sawa me1?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app