Si udini wala ushirikina ni u-stupidity
Na kigagula wenu Sheikh Yahaya je?aaaagh...Lwakatare she is just the Margaret Wanjiru of Tanzania eating from the stupid heads of hunger stricken stomachs Tanzanians
Miafrika Bana Ndivyo ilivyo tutakwenda hivyo hivyo na imani mbovu kuanguka kwa Mtu kuna Uhusiano gani na Ushirikina? mimi nahisi Mzee J.Kikwete alikuwa Amefunga sasa Saumu ilimlevya kidogo ndio maan alianguka na kusema kuwa (Amefuturu) kwa kuanguka chini.Miafrika bana.....
asisingizie swaumu...............tanzania nzima anafunga peke yake? mbona hatujasikia watu wengine kuanguka kisa swaumu?
usikute pengine hata hakufunga!
Kweli kabisa maana kila wakati anadondoka, kama ni mgonjwa watueleze sio kusingizia swaumu, sijui uchovu au usharikina!watu ni wagumu kuelewa dadangu,
mimi nashindwa kuelewa ni kwa nini hawa viongozi wanakuwa kama Malaika!, yaani hawaumwi hawa?, ugonjwa unakuwa siri kama nini sijuhi, hakuna kwa swaumu wala mapepo, JK ni Mgonjwa period
..jamaa haka katabia kake ka kuanguka anguka atasababisha anapokuwa kwenye ziara nje nchi wenyeji wawe wanajiandaa na ambulance kabisa wakijua anaweza kula mweleka muda wowote. Huenda vinyamkela vya kwao vinamchanganya dogo anapagawa!!!:confused2::glasses-nerdy::confused2:hatuna rais..........ana afya mbovu....afya ya mgogoro....hafai kuwa rais.....huwezi kuwa na rais anaanguka hovyo na kila wakati...
hahaaaa mkuuu,aaaagh...Lwakatare she is just the Margaret Wanjiru of Tanzania eating from the stupid heads of hunger stricken stomachs Tanzanians
huwezi kusimulia ukali wa gongo ikiwa hujawahi kuinywa, sasa wewe huo ni mtazamo wako, wako watu wanshindwa kutibiwa na madaktari na wanapone chechi, hicho ulichoogea hapo ndiyo mwisho wa ufahamu wako juu ya maombi yanasaidiaje, so don be ler that, try to show off what you know, and hide what you don knowSwala la maombi wakati mtu ana matatizo ya kiafya (medical) ni kiini maacho. Na iwapo mtu akipata nafuu baada ya kuwa attended na madaktari wake, Watu wafanyao maombi uchukua credit. Mtu kama ana matatizo ya kiafya uenda hospitali na uambatana na dactari siyo mchungaji au sheikh....kama maombi hutibu magonjwa, basi tuinvest kwenye makanisa na misikiti na siyo madactar na hospialini. Je mama Lwakatare akipata ugonjwa wa moyo( siombei Itokee) atakimbilia kanisani au ataenda kutibiwa nje...Tuwe wakweli na tuachane na usanii