Huu ni udhalilishaji kwa fani ya engineering

Huu ni udhalilishaji kwa fani ya engineering

Taa ya barabani iwe na time interval ya 10 minutes
Kumbe na wewe ni kiazi
Hahahaaa, hapo kwenye taa. Hakuna kitu cha kubuni zaidi ya kufunga timer + contactor + relay tu.
Engineer texaz mc , kajipange uje upya
 
UDSM ni chuo chenye jina kubwa ila kinamuandaaa mwanafunzi wake kuwa MWALIMU na sio kuwa expert wa course anayochukulia (both theoretical and practical) WHAT a shame! Vyuo vinavyojulikana mpaka sasa vinavyotoa engineers wazuri ni vitatu tu Tanzania .
1.ATC
2.DIT
3.MUST
na nyongeza nyengine hii,
-DMI ( marines emgineers)
-UTAC ( aeronatic and pilots)
Kidooogo NIT kinajitahidi

ukweli mchungu huu
 
Hivi we mleta mada ndo wale BRN nn,hueleweki target yako ni nn sasa
Hyo aibu ndo ipi hapo.
SI SITI KUSEMA BRN nyinyi mnasumbua sana humu JF kwa nyuzi za kipuuzi mno,si JF YA 2012 KURUDI NYUMA ENZI MPO PRIMARY HUKOO.
NATAMAN MCHUJWE UPYA NA KUNYANG'ANYWA HAYO MAVYET FAKE MLOPEWA KWA KIGEZO MMEFAULU
mm pia sijaelewa point yake naona anaruka ruka tu
 
Hahahaaa, hapo kwenye taa. Hakuna kitu cha kubuni zaidi ya kufunga timer + contactor + relay tu.
Engineer texaz mc , kajipange uje upya
Soma uelewe timer should be progranpro based on many factors sio Tu foleniiiii
 
Unajua huko COET anasomea nin lkn au unabwabwaja tu? Punguza wivu
 
Back
Top Bottom