Huu ni udhalilishaji kwa fani ya engineering

Habari za asubuhi wadau wote wa Jf.
Jana niliangalia kipindi cha "
MWANAZUONI WETU" kinachorushwa TBC 1.
Jana walirusha kipindi hiko wakiwa chuo kikuu cha UDSM, Mada kuu ilikua ni umuhimu wa utafiti kwa maendeleo ya viwanda. Lakini kabla ya kuanza kulikua na maonesho ya bidhaa za kiutafiti zilizotengenezwa na wanavyuo wa hapo UDSM. Cha ajabu kuna kijana mmoja mimi nilidhani atajinadi kuwa ametengeneza mashine ya kuandalia juice kumbe la!!! Eti alijinadi bila aibu kuwa mimi ni mwanafunzi wa engineering hapa UDSM nimetengeneza "
JUICE YA MABIBO" aiseee nilimshangaa sana huyu kijana.
Ujue kuna vijana kama hawa wanaingia katika fani hii ya uhandisi kwa infuences kutoka kwa marafiki zao nasi kwa wishes zao na ndio maana wanabuni vitu ambavyo havimtofautishi na mamantilie anaetengeneza juice ya maembe. Na hawa ndio huja kulalamikia ajira kwa sababu hawana ujuzi wa kiuhandisi.
Kwa ninavyojua mimi mhandisi ni wa kuzaliwa na si wa kusomea akiwa ukubwani, bali mhandisi aliejulikana tangu akiwa mtoto akisomea anaongeza maarofa na kua na uelewa mpana zaidi, na ndio maana kuna vijana hata hawajasoma hata elimu ya msingi lakini ni mafundi wazuri sana mitaani sasa mtu kama huyo akisomea si ndio balaa!!!.

UHANDISI NI FANI INAYOHUSISHA UBUNIFU WA HALI YA JUU KUUNDA KITU KITAKACHO ONDOA TATIZO KATIKA JAMII. Kwa mfano ukibuni taa ya kuongozea magari then ikawa automatic labda kila baada ya dk 10 inastop upande huu na kuruhusu upande mwingine hii itaondoa ttzo la foleni au hata kuwapunguzia matraffick adha ya kukaa juani lkn wanafunzi wetu wa TZ ndio kwanza eti wanatengeneza JUICE eti huyo nae ni engineer aisee kweli hii ndio TANZANIA.
Nawakaribisha wale ma engineer wote muitetee fani yenu maana si kwa kudhalilishwa huku.
We una umri gani na jinsia gani, tuanzie hapo kwanza.
 
Afrika tunasoma tukaajiriwe! Uvumbuzi tumewaachia wazungu Period!
 
Aiseeee, ninawasiwasi na wewe kuwa ndio huyo kijana, upuuzi wangu uko wapi.
Kwa hiyi fani ya engineering sasa huwa wanafundishwa kutengeneza juice kwenye kozi zao??? Nahisi ww ni kilaza namba moja unaesapoti jambo hili.

IMG_3964.jpg

[emoji1484][emoji1484][emoji1484]
 
Na hisi ww ni kiazi zaidi ulitaka iwe na interval ya one hour ama????
Tumia akili mkuu.
Kaa mataa hata ya ubungo ujue mkuu... Range is between one to three minutes ndio maana makapelo huja kusaidia

Wewe sio engineer... And if you are one, komaa kutengeneza majiko ya bei nafuu
 
Aiseeee, ninawasiwasi na wewe kuwa ndio huyo kijana, upuuzi wangu uko wapi.
Kwa hiyi fani ya engineering sasa huwa wanafundishwa kutengeneza juice kwenye kozi zao??? Nahisi ww ni kilaza namba moja unaesapoti jambo hili.
Do you know the content ya juice yake which makes him proud?

I don't disagree kwamba kujisifu Kwa juice is poor, but umejiweka a level below huyo jamaa
 
Kaa mataa hata ya ubungo ujue mkuu... Range is between one to three minutes ndio maana makapelo huja kusaidia

Wewe sio engineer... And if you are one, komaa kutengeneza majiko ya bei nafuu
Yah im not engineer kwan wapi niliandika mm ni engineer??
Pia kuhusu interval ya only 3min ni ndg sana mkuu hivi unajua tazara watu wanakaa hata 30min??? Nadhani 10 inatosha ukisema utumie 3 utaruhusu magari machache sana kupita na hivyo kutakua hkn maana, labda miaka ya baadae tutakapokua na barabara za kutosha ndio tutumie interval hata ya 2mins
 
Na hisi ww ni kiazi zaidi ulitaka iwe na interval ya one hour ama????
Tumia akili mkuu.
Nahis wewe ndio kiazi zaidi. Mara nyingi inakua interval ya seconds... Tena interval ya 90 seconds ni kubwa mno
 
Yah im not engineer kwan wapi niliandika mm ni engineer??
Pia kuhusu interval ya only 3min ni ndg sana mkuu hivi unajua tazara watu wanakaa hata 30min??? Nadhani 10 inatosha ukisema utumie 3 utaruhusu magari machache sana kupita na hivyo kutakua hkn maana, labda miaka ya baadae tutakapokua na barabara za kutosha ndio tutumie interval hata ya 2mins

Angalia standards Kwanza, and then you factor hizo outliers... Tazara is not a one way traffic... Ukiruhusu one side Kwa 30mn ujue Una other side's who will.wait for one hour

Purpose ya lights ni control na filtering movements na sio kuondoa waiting time

Gugo aisee utupunguzie stress
 
Habari za asubuhi wadau wote wa Jf.
Jana niliangalia kipindi cha "
MWANAZUONI WETU" kinachorushwa TBC 1.
Jana walirusha kipindi hiko wakiwa chuo kikuu cha UDSM, Mada kuu ilikua ni umuhimu wa utafiti kwa maendeleo ya viwanda. Lakini kabla ya kuanza kulikua na maonesho ya bidhaa za kiutafiti zilizotengenezwa na wanavyuo wa hapo UDSM. Cha ajabu kuna kijana mmoja mimi nilidhani atajinadi kuwa ametengeneza mashine ya kuandalia juice kumbe la!!! Eti alijinadi bila aibu kuwa mimi ni mwanafunzi wa engineering hapa UDSM nimetengeneza "
JUICE YA MABIBO" aiseee nilimshangaa sana huyu kijana.
Ujue kuna vijana kama hawa wanaingia katika fani hii ya uhandisi kwa infuences kutoka kwa marafiki zao nasi kwa wishes zao na ndio maana wanabuni vitu ambavyo havimtofautishi na mamantilie anaetengeneza juice ya maembe. Na hawa ndio huja kulalamikia ajira kwa sababu hawana ujuzi wa kiuhandisi.
Kwa ninavyojua mimi mhandisi ni wa kuzaliwa na si wa kusomea akiwa ukubwani, bali mhandisi aliejulikana tangu akiwa mtoto akisomea anaongeza maarofa na kua na uelewa mpana zaidi, na ndio maana kuna vijana hata hawajasoma hata elimu ya msingi lakini ni mafundi wazuri sana mitaani sasa mtu kama huyo akisomea si ndio balaa!!!.

UHANDISI NI FANI INAYOHUSISHA UBUNIFU WA HALI YA JUU KUUNDA KITU KITAKACHO ONDOA TATIZO KATIKA JAMII. Kwa mfano ukibuni taa ya kuongozea magari then ikawa automatic labda kila baada ya dk 10 inastop upande huu na kuruhusu upande mwingine hii itaondoa ttzo la foleni au hata kuwapunguzia matraffick adha ya kukaa juani lkn wanafunzi wetu wa TZ ndio kwanza eti wanatengeneza JUICE eti huyo nae ni engineer aisee kweli hii ndio TANZANIA.
Nawakaribisha wale ma engineer wote muitetee fani yenu maana si kwa kudhalilishwa huku.

Mbwembwe zenu bwana...mnaona uhandisi mmezaliwa nao nyie wanadamu wengine ng'ombe!

What'chu eat dont make him shit!
 
UDSM ni chuo chenye jina kubwa ila kinamuandaaa mwanafunzi wake kuwa MWALIMU na sio kuwa expert wa course anayochukulia (both theoretical and practical) WHAT a shame! Vyuo vinavyojulikana mpaka sasa vinavyotoa engineers wazuri ni vitatu tu Tanzania .
1.ATC
2.DIT
3.MUST
na nyongeza nyengine hii,
-DMI ( marines emgineers)
-UTAC ( aeronatic and pilots)
Kidooogo NIT kinajitahidi
 
Mtaongea sana kujifariji...Udsm Engineering is the shit B!
 
Huyo hana tofauti na watu hawa ambao majina yao yanaanza na utambulisho mda wote kama,

-Advocate Nyombi
-Engineer Manyanya
-Balozi sefue

Huyo nae ni muhandisi jina tu.
 
Back
Top Bottom