L LATTICE BOND JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 219 Reaction score 48 Mar 8, 2012 #1 ........ unapokanyaga kinyesi cha binadamu ukachechemea kana kwamba umechomwa mwiba!! ................. ongeza uchuro mwingine ...............
........ unapokanyaga kinyesi cha binadamu ukachechemea kana kwamba umechomwa mwiba!! ................. ongeza uchuro mwingine ...............
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,798 Mar 8, 2012 #2 Unapomuua kunguni kisha kumnusa!
J Johnson2012 Member Joined Jan 27, 2012 Posts 93 Reaction score 12 Mar 8, 2012 #3 unapojamba wakati mmelala na kujifunika Shuka moko
mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,851 Mar 8, 2012 #4 unapojamba kwenye gari ndogo huku umefungulia kiyoyozi.
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Mar 8, 2012 #5 unapovua viatu ukabaki na soksi uvundo ugenini halafu hujistukii
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,578 Reaction score 1,817 Mar 8, 2012 #6 unapo kataa kujiuluzu wakati watu wanakufa...
M Mashroud Member Joined Mar 6, 2012 Posts 71 Reaction score 5 Mar 8, 2012 #7 Unapokataa kuokota sh10 kwa sh1000 ya ahadi.
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Mar 9, 2012 #8 Bakulutu said: unapo kataa kujiuluzu wakati watu wanakufa... Click to expand... hii ya ukweli,..
L LATTICE BOND JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 219 Reaction score 48 Mar 9, 2012 Thread starter #9 Kwani wengine wameandika uongo? Vodka said: hii ya ukweli,.. Click to expand...
Mussa kiraka Senior Member Joined Mar 4, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Mar 9, 2012 #10 unapocheka msiban wakat watu wana majonzi
V vunjajungu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 576 Reaction score 245 Mar 9, 2012 #11 Kujamba geto then unatoka nje kukwepa harufu!
Maayo JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 317 Reaction score 48 Mar 9, 2012 #12 Unapokwepa baiskeli halafu unagongwa na gari.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Mar 9, 2012 #13 mie simo.
Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 67 Mar 9, 2012 #14 Unapomucha mkeo chumbani ...unakimbilia chooni kupiga nyeto
Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,213 Mar 9, 2012 #15 unapopita hapa bila kuchangia
Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 67 Mar 9, 2012 #16 Unapomsifia Rais au mbunge wakati hukumpigia kura!
S SALOK JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 3,610 Reaction score 2,274 Mar 9, 2012 #17 Unapotema mate badala ya kamasi eti mwenzio kajamba!
Jakubumba JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 1,624 Reaction score 501 Mar 9, 2012 #18 Unapomsifia ndugu yako tajiri huku wewe masikini!
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,594 Mar 9, 2012 #19 Unaposhika brek za mbele ukiwa kwenye baiskeli kwenye mteremko
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,594 Mar 9, 2012 #20 Unapokwenda kumwona nduguyo anaefanya kazi ofis za CCM makao makuu wkt we ni CHADEMA