Huu ni uchokozi sasa.

Huu ni uchokozi sasa.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
View attachment 89219
kule.JPG
kwa kitendo cha ku hacked website ya serikari ya korea kusini na kuweka hizi katuni hapo wana diplomasia sijui mnasemaje kwa kitendo hiki.
 
Huyu dogo mnyoa panki sio ndio anataka kupigana na marekani au?
 
Duuh! Ama kweli ni uchokozi mtupu

BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
View attachment 89219
View attachment 89220
kwa kitendo cha ku hacked website ya serikari ya korea kusini na kuweka hizi katuni hapo wana diplomasia sijui mnasemaje kwa kitendo hiki.



Huyu pamoja na viongozi wapuuzi duniani wanaotesa rai wao, inabidi wote wakamatwe na kuweka concentratio camps ili nao waone faida ya kuwekwa huko. Any kiongozi mwenye mtazamo wa haka kajamaa ni mroho wa madaraka na inabidi afundishwe na dunia kwani asiyesikia la mkuu ufundishwa na dunia.
 
nani alikuruhusu kuandika statement usiyokuwa na verification nayo??
au unafanyakazi kwenye vile viwanda vya JK
Ningekuwa na verification nayo nisingeiandika, ila kwa sababu wakuu wangu mpo, nikaona niiandike ili mnithibitishie.
 
Mwachieni dogo akachezee SHARUBU za Simba, ndio atajuwa ukali wake.
 
Nauhakika nalo na ndo maana nimeliweka hapa pitia cnn.com utakutana na video ya hii kitu.mda si mlefu nakupa link.
 
Kuchorwa kama nguruwe mbona ni poa tu,
Mimi wala nisingechukia kuchorwa kama kitoweo ninachokipenda kuliko vyote duniani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
A.K.A NUKE NUKE Mickey lover.
Bwaha ha ha ha!
Kumbe Dogo anashoboka na Marekani.
Bora aendelee ku day dream tu.
 
Dogo anafuata nyanyo za mzee wake na sasa wanazidi kumnanga uwenda akaishangaza dunia
 
Back
Top Bottom