Huu Ni Ubunifu Au Ukatili?

Huu Ni Ubunifu Au Ukatili?

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1559889459877.jpg
 
Nimewaza tu huyo mtoto akijivuta mbele si ataanguka na kiti chake ,au ndio Baba mtu kawaza kwamba akili yake huyo mtoto itakuwa iko kwa yule anayemfotoa?
 
Kwa sababu kuna mtu alipiga hii picha, ina maana walidhamilia kuonyesha ubunifu.
 
Kwa sababu kuna mtu alipiga hii picha, ina maana walidhamilia kuonyesha ubunifu.
Let's assume hiyo picha ilipigwa na mgeni aliyeingia akawakuta katika hali hiyo
 
Hapo ukute mama wa mtoto kashaga chimba na mia kwenda kudanga hukooo
 
Back
Top Bottom