Huu ni U-dictator | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni U-dictator

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bowbow, Nov 13, 2007.

 1. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2007
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kiongozi wa Kimasai auwawa na polisi kwa risasi, sio Jambazi,
  wala hakuwatisha kwa mkuki au sime kisa kakataa kutoa ushirikiano

  soma hii

  Source The guardian
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  kesho ni mimi au wewe.
  jamii lazima ichukue hatua, na hii kitu polisi jamii bila ya kubadilisha hao polisi sidhani kama itafanikiwa. eti umlazimishe nyoka asing'ate umeona wapi hiyo?
  poleni wamasai kwa kumpoteza laigwaan.
  Mwema na mwapachu wawajibike
   
 3. H

  Hume JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Hii hali inatia simanzi sana. Polisi unaua kisa hujapewa ushirikiano?
  Wanapaswa kuwajibika kwa hilo. Baada ya kumuua kwa nini wakamdump mochwari bila kutoa taarifa kwa ndugu? Kuna tofauti gani ya mtu anayeuawa na majambazi na anayeuawa na polisi kwa hali hii?

  No wonder watu wanaamua kuifanya kazi hiyo wenyewe!
   
 4. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2007
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza,
  Polisi kila kukicha wansema WANANCHI MSIJICHUKULIE SHERIA MKONONI
  Je wao wanatekeleza hilo?

  Je kwa nini hawakumpeleka kituoni kwa kumchunguza na kufanya upelelzi wao?
  Na kama huyu bwana aliamua kukimbia hawakuwa na sababu ya kumuaa bali kumjeruhi, Je tuamini serikali imeamua kutumia Marshaw Laws?

  Huu ni U-dictator
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Nov 13, 2007
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Hapo sina la kusema.Ukiona hivyo ujue muda wa watu madarakani
  unakaribia muda si mrefu.Hilo linawezekana kwa njia yoyote jamani tuungane kuupinga na kuchukua hatu dhidi ya huu ukandamizaji katili.
  Leo hii polisi wamechukua sheria mikononi,je wana la kuniambia nitakapoamua na mimi kuchukua sheria mkononi kwa mambo kadha wa kadha?

  If they're expecting people to remain silent regarding this matter,we too 're expectin the same from them.
   
 6. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kwani huu ni udikiteta wa wazi kabisa.Huyu bwana alikuwa ni kiongozi mwenye mahukumu kadhaa muhimu katika jamii yake, sasa wamemuua kama walivyofanya zombe et al.
   
 7. K

  Koba JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ...dawa yao nao ni kuwafuata huko huko polisi na kuwaua labda next time wakitaka kufanya huu upuuzi watafikiria mara mbili kuna consequence!
   
 8. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2007
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hakuna jipya,tulizungumza sana hapa juu ya polisi na watu waliwatetea sana,sasa wacha tufaidi matunda ya kasi mpya na ari mpya.
  Niliwahi kusema hapa kuwa mwema ni muuaji na hakustaili kuwepo ktk jeshi la polisi kutokana na rekodi yake ya kazi.hivyo anaowaongoza wanamjua fika kuwa bosi wao huo ndio utendaji kazi wake na wao wanaendeleza kama kawa.
  Masikini zombe
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ...unajua kuna kipindi NYPD walikuwa na huo mchezo mchafu wa kuua watu kwa visingizio mbali mbali,kilichokuja kutokea baadaye watu walichoka na NYPD walikuwa terrorized kila kona na walikufa kama kuku mpaka ikabidi zitungwe sheria mpya ndio maana siku hizi hata ukipigwa kibao na NYPD ni issue kubwa sana...lakini kwa polisi wa bongo dawa yao ni kuwatungua tuu ili wajue wakiua kuna revenge inakuja maana sheria hazitafanya kazi ninavyojua na wakishatunguliwa vya kutosha wataacha kuua
   
 10. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2007
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
   
Loading...