Simba imecheza na team ya Madrasa huko Egypt.
Yanga tumecheza na Ausburg kutoka Bundasliga.
Hivi huko Egypt mbona Kuna team nyingi kwanini msijipime na Al Ahly, Pyramid, future, n.k ndo mkacheza na team ya chuo cha Madrasa
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu