Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 990
- 1,190
Unajua lakini kuwa ligi yao bado haijaisha?Simba imecheza na team ya Madrasa huko Egypt.
Yanga tumecheza na Ausburg kutoka Bundasliga.
Hivi huko Egypt mbona Kuna team nyingi kwanini msijipime na Al Ahly, Pyramid, future, n.k ndo mkacheza na team ya chuo cha Madrasa
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
Duh!Simba imecheza na team ya Madrasa huko Egypt.
Yanga tumecheza na Ausburg kutoka Bundasliga.
Hivi huko Egypt mbona Kuna team nyingi kwanini msijipime na Al Ahly, Pyramid, future, n.k ndo mkacheza na team ya chuo cha Madrasa
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
We fala hiyo timu ni ya daraja la kwanza egypt ni sawa na timu ya ligi kuu bongoSimba imecheza na team ya Madrasa huko Egypt.
Yanga tumecheza na Ausburg kutoka Bundasliga.
Hivi huko Egypt mbona Kuna team nyingi kwanini msijipime na Al Ahly, Pyramid, future, n.k ndo mkacheza na team ya chuo cha Madrasa
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
Ligi ishaisha acha uongo.Unajua lakini kuwa ligi yao bado haijaisha?
Hiyo ni daraja la pili ni sawa na Mawenzi Market au Mbinu fcWe fala hiyo timu ni ya daraja la kwanza egypt ni sawa na timu ya ligi kuu bongo
Unaota wewe. Bingwa Al Ahly wakati Pyramids bado anaongoza ligiLigi ishaisha acha uongo.
Bingwa Ahly.
Mayele ndo top scorer ana goals 14
Vipindi 3 vya dakika 40 kila kimojaWamecheza dakika ngapi
Mbona goli la Okejepha limefungwa dakika ya 120?
Awapi mkuu, ligi kuu yao easy tu timu zinazo kiwasha ni nne tu Nazo unazijua zingine ni uongo .We fala hiyo timu ni ya daraja la kwanza egypt ni sawa na timu ya ligi kuu bongo
WE JAMAA UNAUBISHI WA KURITHI NA KUOKOTA ASEE, LIGI YA EGPTY BADO INAENDELEALigi ishaisha acha uongo.
Bingwa Ahly.
Mayele ndo top scorer ana goals 14
Asante kwa taarifaView attachment 3049632
Ewe mpenzi wa soka la Tanzania, habari zikufikie popote ulipo kuwa kikosi cha Simba SC kimeanza vizuri katika maandalizi yake ya Msimu mpya huko nchini Misri. Hii ni baada ya kukichapa kikosi cha El Qanah siku ya jana baada ya kuibuka na ushindi mnono wa goli 3-0 (Tatu kwa mtungi).
Wale wote mnaobeza kuwa kikosi cha Simba kimepimana nguvu na timu ndogo ya daraja la 2 mnakumbushwa kuwa soka ni taaluma. Kwa ugeni ule wa wachezaji na kocha akiwa mgeni huku akikisuka upya kikosi hiki mlitegemea mechi ya kwanza aanze kucheza na Al Ahly?
Kwa maoni yangu naona Management ya Simba inafanya kazi professionally maana ni muhimu sana kuwajengea confidence wachezaji katika hatua hizi za awali, confidence yenyewe ndio hiyo ya kuanza taratibu kwa ushindi. Hivyo baada ya hapo tutegemee Simba kukichapa na Timu kubwa kubwa. Hebu mkae kwa kutulia.
Kusuka upya kwenyewe kumezidi banaa..!! ndo mkacheze na timu ya ligi dara la pili kweli..!!! Siyo kipimo kizuri hicho cha pre-season..!!Ningekuwa mwalimu wa shule ya msingi ningekupa VEMA.
Unadhani wanaobeza hawajui basi? Wao wenyewe wanachezaga sana na vitimu vya mchangani tena katikati ya ligi sembuse timu hii inayosukwa upya hatua kwa hatua.
Simba SC guvu moya, unanza kidogo kidogo halafu unakuwa,(You start small and grow big)Kusuka upye kwenye kumezidi banaa..!! ndo mkacheze na timu ya ligi dara la pili kweli..!!! SIyo kipimo kizuri hicho..!!
Sungura hata anenepe vipi, hawezi kuufikia wembamba wa tembo..!!You start small and grow Big