Huu ni Muujiza: Nimegongwa na Lori ila sina hata mchubuko wowote

Mmmhhh asee God is so good to you. Praise him all the time
 
Mungu Ni mwema Kila wakati ,kama wewe Ni mkatoliki naomba ukasome misa ,BY THE WAY NAOMBA UNIUZIE HIYO NOAH KWA AJILI YA KUICHINJA
 


Hii imetokea leo Igunga sa moja asubuhi.
Aah Sasa hujui kama ungekufa ungeenda kuishi maisha ya raha mbinguni? Sasa kwa taarifa yako mungu hakupendi ng'o Ndo Maana kakuacha kwenye taabu za hii dunia, ona hata jamaa hapo juu kashaanza kulitaka gari lako na kuliita skrepa sii taabu hizi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…