Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Hii imetokea leo Igunga sa moja asubuhi.
Hiyo rangi nyekundu apo kitu gani? Sio damu kweli?
Hii imetokea leo Igunga sa moja asubuhi.
Hii Ndo inaitwa kufa kufaana jombaaMungu Ni mwema Kila wakati ,kama wewe Ni mkatoliki naomba ukasome misa ,BY THE WAY NAOMBA UNIUZIE HIYO NOAH KWA AJILI YA KUICHINJA
Sio noa ni nissan x trail. Nitafte kwa 0759741303Mungu Ni mwema Kila wakati ,kama wewe Ni mkatoliki naomba ukasome misa ,BY THE WAY NAOMBA UNIUZIE HIYO NOAH KWA AJILI YA KUICHINJA
Mafuta ayoHiyo rangi nyekundu apo kitu gani? Sio damu kweli?
Unatumia nini kuangalia kweli hiyo ni Noah?Mungu Ni mwema Kila wakati ,kama wewe Ni mkatoliki naomba ukasome misa ,BY THE WAY NAOMBA UNIUZIE HIYO NOAH KWA AJILI YA KUICHINJA
Aah Sasa hujui kama ungekufa ungeenda kuishi maisha ya raha mbinguni? Sasa kwa taarifa yako mungu hakupendi ng'o Ndo Maana kakuacha kwenye taabu za hii dunia, ona hata jamaa hapo juu kashaanza kulitaka gari lako na kuliita skrepa sii taabu hizi jamani
Hii imetokea leo Igunga sa moja asubuhi.