Huu ni Mtego au?

Ukiwa unaenda pitia hapa Njombe nikupe zawadi uwapelekee wakwe zangu Rombo.

 
Hivi wewe ni mvulana au mwanaume???????umemuacha halafu unataka kurubuniwa uende kufanyiwa mbaya looooh ukienda usisahau mafuta ya KY
 
samahani mkuu una mali? ha haha kichwa kubwa hiyo kuwa makini
 
Inawezekana anataka kuua so kwa ndugu zake ambao wanajua tayari ana mchumba.
Mwambie achukue hata rafiki yako aende naye ila siyo we we.
Akishindwa nipo Manzese anipitie nikajitambulishe yaizhe
ila utakula hapo
 
Kuwa makini na chukuwa uamuzi mapema smthing fishy is around the corner
 
Mkuu naomba ukija uandae Blanket la babu, Bibi, mbuzi dume, ndizi, maziwa na zawad ya mama na baba ...

Karibu sana mkuu, nakungoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…