huu ndo upendo wa kweli?

huu ndo upendo wa kweli?

kazi2000

Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
71
Reaction score
14
Nimatumaini yangu kuwa mko poa.mimi ni kijana wa miaka 28,mwanafunzi wa mwaka wa 3 hapa SAUT mwanza,nasomea masuala ya uhasibu.mwaka 2006 nikiwa form 5 pale META sekondari-Mbeya nilibahati kupata girlfriend ambaye kwa wakati huo alikuwa form 4.kifupi tulipendana sana mpaka nikamshawishi ajiunge na kidato cha tano hapo hapo shuleni kwetu META,kweli binti akaanza form 5 pale shuleni kwetu ikawa yeye form 5 mi form 6.mpaka nikamaliza shule nikaondoka kurudi kwetu rufiji.tukaendelea kuwasiliana kwa muda kama wa miezi 8,baada ya hapo mawasiliano yakaanza kusumbua mara anapatikana mara hapatikani,nikimwuli tatizo akasema simu mbovu inamsumbua.baadae yakakatika kabisa,yeye alimaliza form 6 nakupata nafasi pale MKWAWA university,ila mim sikufanya vizuri nikalazimika kusoma diploma pale CBE dodoma.hivyo mwenzangu amemaliza chuo mwezi 6,mim ndo niko mwaka wa 3.tatizo linalo nikabili ni kwamba amerudi anataka tufanye maisha,nikamwuliza ulikuwa wapi miaka yote tangu umeanza chuo uje unitafute baada ya kumaliza chuo? Sikupata jibu.nikamwuliza je miaka yote hiyo hajapata mtu? Akaniambia alikuwa naye wameachana.pia kwa upande wangu niko kwenye mahusiano ambayo yanazaidi ya miaka 2 na nusu.ndugu zangu nimebaki njia panda cjui nini cha kumsaidia.naomba msaada wa mawazo toka kwenu.
 
wat du u want or what does ur heart want?
follow ur heart.
thats the only soln.
 
...mjomba si tayari upo kwenye mahusiano?...
Sasa watafuta nini kwa x girlfriend wako?

Au baada ya kuachwa akajua kuna spare tyre yake ndo kakufuata?

Huogopi maradhi? Kumsaliti uliyenae?

Na una guarantee gani kama hatokumwaga tena?

.
 
Nameless niko neutral@badili tabia kifupi hakunimwaga kinamna fulani naweza sema mazingira ya kijijini miongoni mwetu yalichangia kutengeneza communication impossibilities.
 
Last edited by a moderator:
Acha kujisumbua na huyo mtu,usijifariji kwamba hakukumwaga,kulingana na maelezo yako alikumwaga sasa amegonga ukuta amerudi.Kazi kwako!
 
Dogo acha ushamba, hilo siyo suala la kuamba ushauri stand as a man. Yaani kweli umegeuka dhahabu kwake baada ya kutemwa huko alikokuwa? Mwekee wimbo wa 20%...uliponitosa miee...aah..nilikubembeleza ukakataa ..maa ,sikuwa na kosa mie...endelea ,ningekusamee..ilaa..ilaa..syo kimapenzi...ningekuwa nawee..ilaa , nimeshapata mpenzi...endelea
 
Ukiachana na mwanamke usimrudie ni hayo tu mheshimiwa, its dangerous
 
achana nae..uv moved on,si tayari una mtu...kama amekutenda once,possibility is atakutenda tena...never look back...maji yakishamwagika hayazolekiiii....
 
nashukuru sana wadau,kwa hiyo nimpe makavu au nitumie maneno gan ya busara kumwambia haiwezekani?
 
...mjomba si tayari upo kwenye mahusiano?...
Sasa watafuta nini kwa x girlfriend wako?

Au baada ya kuachwa akajua kuna spare tyre yake ndo kakufuata?

Huogopi maradhi? Kumsaliti uliyenae?

Na una guarantee gani kama hatokumwaga tena?

.
I second that as well.
 
nashukuru sana wadau,kwa hiyo nimpe makavu au nitumie maneno gan ya busara kumwambia haiwezekani?

Ina maana kweli hujui cha kumwambia?

Wee mwambie tuu umeshapata mpenzi unyempenda saaaana..! Alichezea shilingi chooni ikatumbukia..!

Ila nina wasiwasi kuwa bado unampenda huyo ex girl wako ndio maana unachachawa..!
 
kijana wala usipate pressure...huyo kajileta mwenyewe kwako. wee kuwa nae kingono zaidi sawa mwana wala usimpotezee. ila jambo moja tuu..kaa ukijua kwamba huyo ni wa starehe tuu.
 
Stay focused, never look back unless it was meant to glorify the almighty. Kuwa Makini na mahusiano yako mapya.
 
Nimatumaini yangu kuwa mko poa.mimi ni kijana wa miaka 28,mwanafunzi wa mwaka wa 3 hapa SAUT mwanza,nasomea masuala ya uhasibu.mwaka 2006 nikiwa form 5 pale META sekondari-Mbeya nilibahati kupata girlfriend ambaye kwa wakati huo alikuwa form 4.kifupi tulipendana sana mpaka nikamshawishi ajiunge na kidato cha tano hapo hapo shuleni kwetu META,kweli binti akaanza form 5 pale shuleni kwetu ikawa yeye form 5 mi form 6.mpaka nikamaliza shule nikaondoka kurudi kwetu rufiji.tukaendelea kuwasiliana kwa muda kama wa miezi 8,baada ya hapo mawasiliano yakaanza kusumbua mara anapatikana mara hapatikani,nikimwuli tatizo akasema simu mbovu inamsumbua.baadae yakakatika kabisa,yeye alimaliza form 6 nakupata nafasi pale MKWAWA university,ila mim sikufanya vizuri nikalazimika kusoma diploma pale CBE dodoma.hivyo mwenzangu amemaliza chuo mwezi 6,mim ndo niko mwaka wa 3.tatizo linalo nikabili ni kwamba amerudi anataka tufanye maisha,nikamwuliza ulikuwa wapi miaka yote tangu umeanza chuo uje unitafute baada ya kumaliza chuo? Sikupata jibu.nikamwuliza je miaka yote hiyo hajapata mtu? Akaniambia alikuwa naye wameachana.pia kwa upande wangu niko kwenye mahusiano ambayo yanazaidi ya miaka 2 na nusu.ndugu zangu nimebaki njia panda cjui nini cha kumsaidia.naomba msaada wa mawazo toka kwenu.
Mkuu Mwanamke ukiachana nae zaidi ya miezi 6 mpaka mwaka usimrudie trust me, magonjwa mengi siku hizi wakisha tendwa hujifanya wamemic walipotoka na kutuletea magonjwa yasiyo eleweka
Ww sijiulize alivyokuwa naww alikosa nn ambacho huna mpaka akaenda kwa Jamaa mwingine na amekosa nn kwa Jamaa nakurudi tena kwako kufanya nn kama sio zaidi kukuletea maradhi.
Kuwa makini Mkuu hawa madada zetu huwa hawajielewi nn wanataka
Hawaishi kutangatanga kwa tamaa zao za kijinga nakutotaka kutulizana Mwanamme mmoja.
Tupo wangapi???
Tulizana Kijana vunja mtandao!!!
 
Nimatumaini yangu kuwa mko poa.mimi ni kijana wa miaka 28,mwanafunzi wa mwaka wa 3 hapa SAUT mwanza,nasomea masuala ya uhasibu.mwaka 2006 nikiwa form 5 pale META sekondari-Mbeya nilibahati kupata girlfriend ambaye kwa wakati huo alikuwa form 4.kifupi tulipendana sana mpaka nikamshawishi ajiunge na kidato cha tano hapo hapo shuleni kwetu META,kweli binti akaanza form 5 pale shuleni kwetu ikawa yeye form 5 mi form 6.mpaka nikamaliza shule nikaondoka kurudi kwetu rufiji.tukaendelea kuwasiliana kwa muda kama wa miezi 8,baada ya hapo mawasiliano yakaanza kusumbua mara anapatikana mara hapatikani,nikimwuli tatizo akasema simu mbovu inamsumbua.baadae yakakatika kabisa,yeye alimaliza form 6 nakupata nafasi pale MKWAWA university,ila mim sikufanya vizuri nikalazimika kusoma diploma pale CBE dodoma.hivyo mwenzangu amemaliza chuo mwezi 6,mim ndo niko mwaka wa 3.tatizo linalo nikabili ni kwamba amerudi anataka tufanye maisha,nikamwuliza ulikuwa wapi miaka yote tangu umeanza chuo uje unitafute baada ya kumaliza chuo? Sikupata jibu.nikamwuliza je miaka yote hiyo hajapata mtu? Akaniambia alikuwa naye wameachana.pia kwa upande wangu niko kwenye mahusiano ambayo yanazaidi ya miaka 2 na nusu.ndugu zangu nimebaki njia panda cjui nini cha kumsaidia.naomba msaada wa mawazo toka kwenu.
Nina maswali ya ww kujiuliza kama kweli anakupenda nawe mnapendana kwanin hamkutafutana sku zote? Kati yake na uliye naye nan unampenda zaid? Kama kwel anataka kurudiana nawe je uliyenaye utamwacha? Huko mbelen je unagrantee kuwa hatokuacha? Waswahili husema aliyeng'atwa na nyoka akiona ukoka hushtuka? Umesagau msemo huo
 
Nameless niko neutral@badili tabia kifupi hakunimwaga kinamna fulani naweza sema mazingira ya kijijini miongoni mwetu yalichangia kutengeneza communication impossibilities.

Alikumwaga bwana we si umetuambia. Hici unadhani baaada ya kuachwa na huyo alie nae ndo mawasiliano amekuwa mazuri
 
Back
Top Bottom