The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 307
Unapouliza ushauri, ina maana unataka tukupe mawazo ambayo yatamuathiri huyo ulie nae sasa, kumaanisha humthamini ndo maana unafikiria upuuzi wa demu wa zamani..!
Kuwa mwanaume, jifunze kama katika dhiki hakukupenda, hakuona umuhimu wako, leo amekwama kakurudia vipi kesho unajua itakuaje?
Thou wahenga wa zama hizi wanasema ;-
.Ukiona anakupenda...jua kuna mjinga kashalizwa..
.Zakuambiwa...changanya na za kwako..