Huu ndo ugonjwa wangu

Ugonjwa wako mwingine huo
 

Attachments

  • 1444645239097.jpg
    19.7 KB · Views: 893
Ugonjwa wako mwingine huo

ahaaaa...ila asiwe na vidole vifupi kama pingili za muwa pori
mtoto inatakiwa anakuwa na vidole virefu vilinyooka vema



Hii hapana arooo....
weka mbali na watoto.
 
Yaani kabla sijaanza kumnywesha sumu ya mahaba demu huwa cha kwanza naangalia vidole vya miguu yaani hapo ndo mapepo yangu yalipolala.Sijui wenzangu na mimi akina Baba Fanueliiii huwa mnachek nini


Ugoko!!!!?
Ebiye hatari!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…