Yaani kabla sijaanza kumnywesha sumu ya mahaba demu huwa cha kwanza naangalia vidole vya miguu yaani hapo ndo mapepo yangu yalipolala.Sijui wenzangu na mimi akina Baba Fanueliiii huwa mnachek nini
Ha ha ha haaaa kuna pahali kwa mchaga mmoja muuza mtumba nikipita nimevaa viatu vya wazi ananiambia funika kwanza hivyo vidole ndio uongee na mimi hivi akili yangu ya chini imeharibukaaa...
ANGALIZO: Ili ufaidi vizuri inakubidi uwe mpaka rangi miguu yao... utawapata wa kutoooosha!