JF haieleweki unakuta mtu kaanzisha mada hoja lakini inapotezewa lakini sijaona upuuzi kama huu usichangiwe!
Remember always there're no stupid questions but silly answers!
Wanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.