Huu ndo udhaifu wa wanawake

Dah mimi nikiona mwanaume msafiiiiii yaani namtamani nawaza naishia kusema "mungu wewe ndo wajua" baada ya hilo ndo zinafata zileeee sifa nyingine. Pochiiiii babu!
 
Wanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.

Je, Nanyi wanawake mnavutiwa na nini kwetu?
Ungeweka na picha
 
Oga Titus, Account they read minus!
 
wanadata na uchawi wa mzungu a.k.a gari

ukiazima gari unaweza ukajichagulia tu huku kitaa

Lolote hata hili?
 

Attachments

  • 1452707125520.jpg
    46.2 KB · Views: 28
Acha hizo kuna jamaa aliniambia , alimpenda mwanamke alipomuona akivuka barabara??



Hivi secondary hawajfungua shule tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…