mzee wa miba
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 759
- 125
ccm = majangili
ccm = majambazi
ccm = mafisadi
ccm = magaidi
ccm = wauza unga
ccm = wauaji
ccm = walipua mabomu
ccm hoyeeeeeeeee!!!!!!
Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
ngoja niendelee kummomba mwanasheria wao anipe japo nipige picha kwenye jina bro Chris LUKOSIDuh! hadi Chris Lukosi ? Kweli CCM ukoo wa Panya.
Mleta mada tafadhali tuletee majina hayo anagau hata Piga Picha kama kweli yamebandikwa.
wamepata wanasheria watatu ndoo wanashughulika sisi tunasubiri ili tufafanuliwe ni taratibu gani zilitumika kwa Marehemu kuomba kibali na kupewa huku ndugu wa marehemu wakisema hata kibali hawajui ndo nini!Kama taratibu zimekiukwa wanauwezo wa kukata rufaa na kuzuia zoezi zima lirudiwe upya ni kufuata taratibu za sheria ya zabuni.
CCM = Majangili
CCM = Majambazi
CCM = Mafisadi
CCM = Magaidi
CCM = Wauza Unga
CCM = Wauaji
CCM = Walipua mabomu
CCM hoyeeeeeeeee!!!!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
laigwenanngoja niendelee kummomba mwanasheria wao anipe japo nipige picha kwenye jina bro Chris LUKOSI
MFANO:-
1. RITHONE Pia
2. wafanya biashara wakubwa ndio wamekumbukwa,na
3. Viongozi wa Serekali kama LUKUVI,MAKINDA,na NAPE
4. kinacho chekesha zaidi kuna Watu walio fariki miaka mingi iliyo pita nao waliomba vibali na kupata,
5. viongozi wa serekali kama Wakuu wa Wilaya,mikoa,OCDs,RPCs,
wataajiriWa T O Taisee SHOZA na MWAMPAMBA hawajapata kitu ?
Hahahaaaa.. naona juhudi za Chris Lukosi humu jamvini zimeanza kuzaa matunda.. hii ndo Tanzania ya ccm... hongera Chris Lukosi...
Chama cha panya
JAMANI jamani jamani msitufanyie hivyo wameshajifunza kwa makosa na hawata rudia ki ukweli hali ni mbaya na hawa bebeki pia hawana shukraniHii mijitu ya huko akili zao utadhani ni wanyama wanaoliwa! Wacha CCM wawatie adabu wataenda kujifunza makaburini kwao huko. Ukiyaambia msiichague ccm na kuyaeleza mabaya yoote ya ccm, lakini yanadanganyika kirahisi mno kwa khanga, T-shirt na kofia. Sasa yaacheni yavune yalichopanda, yanalalamika kitu gani? Yatulie tu yanyolewe.
CCM imeingiaje hapa
aisee! hawa sijawaona kwa kweli!aisee SHOZA na MWAMPAMBA hawajapata kitu ?
Dakika chache zilizo pita nilikuwa kwenye kikao cha watu walio kosa Vibali vya kuchana Mbao za SAO HILL,Aisee!!! watu wananung'unika na kukata tamaa kabisa na CCM ambayo ndiyo inamiliki majimbo yote mawili ya Wilaya Mufindi,kikao hiki kimehudhuriwa na watu wapatao 900 ukitutoa sisi tulio jipenyeza hali ilikuwa mbaya bwana wana dai CCM haina shukrani na Haijui dhamani yao.
Ni hivi baada ya kuvisubiri Vibali hivi kwa muda mrefu sana , Subira yao haikuvuta heri kwani wameambulia patupu.
Wakati wa mchakato wa kuomba vibali watu hawa walitakiwa na Manager wa shamba kuonesha viwanda vyao vya kupasulia mbao hivyo watu waliingia Benki na kukopa na walinunua mashine za kuchania mbao na hivyo maombi yao yalipokelewa.
Maajabu ni kwamba wanakijiji na wakaazi wa hapa wilaya ya Mufindi wengi wamekosa vibali na badala yake wamepewa watu ambao hata ramani ya wilaya hii hawaijui MFANO RITHONE Pia wafanya biashara wakubwa ndio wamekumbukwa,na Viongozi wa Serekali kama LUKUVI,MAKINDA na NAPE.
Kinacho chekesha zaidi kuna Watu walio fariki miaka mingi iliyo pita nao waliomba vibali na kupata,Kinacho wakera wapiga kura hawa ni jinsi wao wanavyo kosa kibali japo kila mwaka wanaomba lakini marehemu wanapewa na viongozi wa serekali kama Wakuu wa Wilaya,mikoa,OCDs,RPCs, na wengine wengi Mbona hawana viwanda na wamepewa vibali?
Mtu kama Chris Lukosi hana kiwanda sehemu yoyote hapa Wilayani lakini eti ana kibali,watu wanataka kujua iweje mtu kama Kangesa,AKYOO,MAKAMBAKU na Rithone wanaomba vibali kila mwaka na wanapata wakati wengine wanaomba zaidi ya mara 1000 na hajawahi kupata hata siku moja! hivi ni haki kweli watu hawa wameapa lazima kieleweke.
Hali ni mbaya kwa kweli na wameazimia kufungua kesi Mahakama kuu kuomba kusimamishwa kwa uvunaji wa mbao mpaka taratibu zilizo tumika kugawa vibali viainishwe.
Kuna mzee mmoja anasema kuwa baba yake alinyang'anywa shamba na kupanda miti na walikuwa wakiiangalia miti hiyo tangu zamani tena kwa lazima bila kupewa chochote lakini eti leo ananyimwa kibali japo ameomba kwa zaidi ya mara 317 inauma sana!
My take:- CCM kuweni na shukrani maisha bora ndiyo haya!