Huu ndiyo ukweli unaofichwa juu ya Diwani Clementi Mabina aliyeuawa na wananchi Kisesa,Mwanza

umri wa kesi ulikuwa miaka 15 ni kweli?
~na nimesikia kuwa alitoka kanisani na kufika nyumbani kwake akaanza kuchochea bastola risasi na hapo mke wake akamzuia asiende popote na kuficha funguo za magari yeye akaenda kukodi hiace akaingia huko na hao mabaunsa wake .
hiyo nimesikia kwani niko mwanza na maneno ni mengi kweli


True mkuu
 
nyampanaga ni ulevi wa madaraka na madharau kwa wananchi na rushwa iliyokithiri mahakamani kesi muda wote kuna nini wakati sheria ya muda wa kesi ni miaka miwili katika mahakama moja
 
Last edited by a moderator:
Hakuna maeneo yanye migogoro mengi ya ardhi kama mwanza na viongozi wa mwanza wana tabia ya kutoa hati ya ardhi kwa matajiri katika makazi ya watu
 
Toka viongozi MIZIGO mpaka UUWAJI

ffffffffffffffffffff.jpg

wako wengi
 
umri wa kesi ulikuwa miaka 15 ni kweli?
~na nimesikia kuwa alitoka kanisani na kufika nyumbani kwake akaanza kuchochea bastola risasi na hapo mke wake akamzuia asiende popote na kuficha funguo za magari yeye akaenda kukodi hiace akaingia huko na hao mabaunsa wake .
hiyo nimesikia kwani niko mwanza na maneno ni mengi kweli

Sure mkuu
 
Huu ulikuwa ni ugaidi uliyokamilika.Gaidi pekee ndiye anae weza kumteka mtu na kumufanya kuwa kinga yake kwa kumuelekeza mtutu kichwani.CCM wamekuwa wakijishughulisha na ugaidi wa kuchongwa ili wawabambike CHADEMA wakati ugaidi umejaa kwao kama huu lakini hawashuguliki.au ugaidi ulioko ndani ya CCM ndiyo demokrasia yenyewe?au ugaidi ni ilani iliyojificha ya chama cha magamba?ndiyo maana viongozi wake wanapofanya vitendo vya ugaidi hawachukuliwi hatua zozote kwa vile wanatekeleza ilani ya chama chao.
 
Marehemu sijamuelewa elewa samahani lakini

Clement Mabina,aliwahi kuwa Mwenekitiw ccm mkoa wa Mwanza,kauwawa juzi na wananchi wenye hasira kali katani mwake Kisesa Mwanza,mpaka mauti yanamkuta aikuwa diwani wa kata ilekupitia ccm
 
Nayeye Rage kashaa simamamia shoo ya kijana mmoja wa CDM kupgwa ila wee ngoja tuu! nguvu ya uma tamgeukia
 
Akili za kuambiwa changanya na zako. Aliekuwepo wakati wa tukio anaweza kuwa shuhuda mzuri !!
 
Back
Top Bottom