Diwani wa CCM KATA YA KISESE-MWANZA akashfu wananchi wake!!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
DIWANI WA CCM KATA KISESA MKOANI MWANZA MH. CLEMENT GREGORY MABINA JANA ALIWATOLEA KAULI YA KUWADHIHAKI NA KUWAUDHI WANANCHI WA KITONGOJI CHA KANYAMA KWAMBA, KATA HIYO WAKIMPA SEHEMU YA ENEO(kiwanja/shamba) ATAWALETEA UMEME NA MAJI. WANANCHI HAO WAMEPATWA NA KIGUGUMIZI NA KUSHINDWA KUELEWA KWAMBA WALIMCHAGUA DIWANI HUYU KWA AJILI YA KUWALETEA NI ............?KAMA DIWANI WA KATA TU JE,MADIWANI 3 WAKIFANYA HIVYO,WABUNGE NAVIONGOZI WNGINE WENYE DHAMANA MKOA HUU UTAELEKEA WAPI? WANANCHI WAJIFUNZE NINI KUTOKA KWNU,HABARI ZAIDI ZINASEMA DIWANI HUYU ANAMILIKI ENEO/SHAMBA KUBWA SANA.source WANANCHI KATA KISESA kitongoji cha KANYAMA
 
Usjali,uzi kama huu wenzako wataupenda ila wenye akili zao watakudharau
 
Huyo si mwekititi wa ccm mkoa wa mwanza ,pia anamgogoro huko huko kisesa kuna sehemu amepora aridhi kubwa ya watu kwa nguvu fuatilia vizuri ulete data zote hapa!
 
huyu Mabina anandugu yake yuko usalama wa taifa na shule ndogo wanaendesha vijibiashara haramu hapo mjini mwanza. na kuna kipindi furani walikuwa wanauza nyama za ng'ombe zilizokuwa wanafanya wizi wa ng'ombe na kuzichinja usiku bila kupimwa na kuuzia wananchi...mabadiliko yanakuja. nothing last forever.
 
mi naendelea kukusanya data,na wengine mlete ufisadi wake hapa jamvini ili 2anze harakati za kumwondoa
 
DIWANI WA CCM KATA KISESA MKOANI MWANZA MH. CLEMENT GREGORY MABINA JANA ALIWATOLEA KAULI YA KUWADHIHAKI NA KUWAUDHI WANANCHI WA KITONGOJI CHA KANYAMA KWAMBA, KATA HIYO WAKIMPA SEHEMU YA ENEO(kiwanja/shamba) ATAWALETEA UMEME NA MAJI. WANANCHI HAO WAMEPATWA NA KIGUGUMIZI NA KUSHINDWA KUELEWA KWAMBA WALIMCHAGUA DIWANI HUYU KWA AJILI YA KUWALETEA NI ............?KAMA DIWANI WA KATA TU JE,MADIWANI 3 WAKIFANYA HIVYO,WABUNGE NAVIONGOZI WNGINE WENYE DHAMANA MKOA HUU UTAELEKEA WAPI? WANANCHI WAJIFUNZE NINI KUTOKA KWNU,HABARI ZAIDI ZINASEMA DIWANI HUYU ANAMILIKI ENEO/SHAMBA KUBWA SANA.source WANANCHI KATA KISESA kitongoji cha KANYAMA
Duh kumbe tumeanza mbali.
 
Muda muafaka kufufua uzi huu!

Ni kweli mkuu! Kumbe huyu Jambazi lilifugwa na CCM kwa muda mrefu? Haya sasa badala ya kupewa Kiwanja kapewa Mauti.
Kweli kisicho riziki hakiliki. Mabina wa watu katangulia Kuzimu sijui huko ataenda mwambia nini Mjomba wao wana Ccm(shetani)?
 
Back
Top Bottom