S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,620
- 32,731
Dah! Ndio hivo, na ukiforce ayatoe utatengeneza tatizo lingine. Ni mtu mzima huyo achana nae achague life lakeKwakweli sipendi hayo mapini na mahereni
Hapo wahuni watahakikisha Nanga inatoka na tope.
We kama mzazi wake umechukua hatua gani?Ndiyo maana yake, ameyafanyia haya yote shuleni.
Shule yake ilikuwa Mkoa gani??Ndiyo maana yake, ameyafanyia haya yote shuleni.
U karibu na baba yake wako karibu sana, tatizo lilitokea tulimpeleka boarding akiwa na miaka 10 huu ndiyo muda tulikuwa mbali nae.Pole kwa unayopitia dada yangu,najua inavyouma mtoto kwenda nje ya mategemeo au matamanio yako.
Mimi nimekaa na vijana shuleni wakati nasoma pia mtaani yaani wametoka familia nzuri kabisa Baba na mama zao wana regular jobs na kwenye jamii wana good status ila vijana wanakuwa hawaendani na vile wazazi wao wanataka.Ila vyanzo vya wao kuwa hivyo ni;
(I) Wazazi hawapo karibu na makuzi ya watoto,mtoto wako hata akiwa chuo kikuu mtembelee mara kwa mara uone anaendeleaje,hii itamsaidia ku appear decent infront of you na umkabidhi kwa mwalimu mmoja wa kukuangalizia mara moja moja.
(II) Mazingira,mtoto akitoka likizo aje nyumbani aone jamii inavyoishi na jinsi jamii inavyomtaka awe,shuleni kuna hallucinations za ajabu no reality.
(III) Hofu ya Mungu,kama utaweza mwanao huko alipo mtambulishe kanisani na kwa mtumishi either mchunganji na awe na urafiki na huyo mtumishi mfano pesa waweza ziacha kwa mtumishi watazoeana na atakuwa mtoto mzuri.
(Iv) Mtoto wa kiume awe karibu na baba ake ili amfundishe mambo ya kiume na usimamizi wa miradi au familia.
Umeolewa na Mzungu?Nimeishiwa na nguvu kabisa hata kupiga nimepiga kwa hasira.
Ndyo Tanzania Mkoa gani?Si Tanzania