Huu ndio wosia wa GADDAFI

Mzee Cosmas chidumule aliwahi kuimba akiwa na oss ama sikinde,aliimba hivi "mtoto akililia wembe wacha umkate atapopata kidonda ndipo atapougopa,dada yetu wewe ulikwishaolewa lakini kwa tamaa yako ukaivuruga ndoa yako kwenda kuishi na bwana mwingine vimekukuta vya kukuta mwenyewe umetutangazia majuto ni mjukuu tukusaidie nini sema nduguzo tulikuasa na mapema kwamba huyo bwana mdanganyifu ukatuona cc watu fitina tunakuonea gere umepata bwana mwenye pesa atakujengea nyumba atakununulia gariee sasa unajuta,usilieee dada unalia nini na wewe ulisema umempata bwana ataekufaa maishani wako,cc tulijua hiyo ni chambo tu sio kwako peke yako hata kwa hao walioolewa kabla yako(Egypt na Hosni Mubarak) tuwaona mitaani kila siku tunapanda nao uda na daladala hakuna kibanda wala nyumba"


download
Mtoto Akililia Wembe - YouTube

Usilie eeh eeeeh
Usilie eeh Dada, unalia nini naww ulisema, umempata bwana ataekufaa maishani mwaako, aloo Dada, aloo Sister...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom