PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Kwa vijana au wanaume wengi ni kawaida kuwa na mademu zaidi ya mmoja,kutumia vileo,kubet,na matumizi mengine ya kustarehesha.
Katika kipindi hiki kipato kimepungua kwa watu wengi. Kwa wafanyakazi wengine wamepunguzwa kazi,kupunguziwa mishahara pia,kustishwa semina na field work zenye malipo,na kwa wafanya biashara ,biashara zimeyumba sana.
Huu sasa ni wakati wa kubana matumizi hasa yasiyo lazima,bnafsi nashare namna nilivyopunguza matumizi na inanipa tija.
Kipato changu ni 40,0000 kwa siku ,means napata take home ya 1.2m kama mshahara.kabla ya corona kulikuwa na addition ya kati 200,000-250,000 ninazosave kutokana na safari za kikazi kwa mwezi(perdiem).
> Matumizi kula kwa siku
10,000-15,000/= ,note: naishi alone geto.
> Mambo yaliyopelekea matumizi ya ziada yasiyo lazima yalikua.
-Nilikuwa na mademu wanne,mmoja anafanya kazi hapahapa Dar.wawil wanachuo ,na mwisho anayesotea kazi baada ya chuo,
Nilikuwa napenda kuhang na washikaji sana weekend,
- Nilikuwa napenda adventure sana.
Baada ya Corona nimezaliwa upya kama ifuatavyo.
Demu nimebakiza mmoja tu anayepiga kazi,vimeo vya vyuo vyote nimepiga chini.
Weekends nyingi nipo home kuwatch movies ama bagamoyo kwwnye kijishamba changu full kupanda miti.
Advanture zote nimepiga chini,
Kutokana na hayo yote nimegundua nasave pesa nyingi sana na huenda ktk balaa hili ndo ntamaliza kujenga kubanda changu
Ni wazi kuwa kipindi hiki mademu wengi wana njaa sana,ukiendekeza wanatoboa mifuko,
Karibu wadau kushare namna ya kupunguza budget katika kipindi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app