Huu ndio wakati mzuri wa kupata rafiki na ndugu wa kweli, asikudanganye mtu

Nilimanisha km 97unakumbukimbu hizo lazima utakuwa ulikua na miaka km5-7..ss toka hpo had leo ni vimiaka vimepitašŸ¤—!all the best mkuu!
Asante dada, nimekuelewa tangu mwanzo, unajua sisi wengine huwa hatufanyi vitu kwa mkumbo. Sikuwa naweza kujimudu, ningewezaje kummudu mwenzangu au ndio mwanzo kuanza kuropokwa upumbavu ili hali mimi ndiye mwenye matatizo.
 
..na kweli...kuoa inabidi uwe umejipanga kweli kweli!bora sana!
 
Mimi rafiki yangu wa kweli ni mke wangu tu na mama yangu mzazi. Waliobakia wote, nawachukulia siku zote kama jamaa zangu tu. Maana natambua fika, marafiki walio wengi ni wanafiki.
Ongezea hapo na watoto wako ndio marafiki wa kweli, lkn mke naye siyo wa kumuamini sana kwahyo usijipe guarantee hata watoto wanaweza kukugeuka vile vile, lkn utafanyaje ni damu yako hiyo.
 
Duuu! Bujaga Izengo Kadago, mara ya mwisho kukutana Aboud Television & SUA TV.....šŸ™šŸ™šŸ™
 
Back
Top Bottom