Huu ndio wakati mzuri wa kupata rafiki na ndugu wa kweli, asikudanganye mtu

Huu ulimwengu hauko fair kabisa, rafiki anaweza kuwa na utu kuliko ndugu, mama anaweza kuua mwanae kwasababu ya mali....na kadhalika na kadhalika. So ukiwa ktk situeshen flani maishani unajifunza mengi, utu wa mtu hautegemei urafiki au undugu. It's a matter of heart
 
Wewe ni mjinga ,kwanza una gari sijui ni gari gani ila nahisi kwa bei ya chini haizidi 3M ukiliuza huu ni mtaji tosha kabisa kwa life ya mjini ujinga wako unataka kumantain status ya zamani wakati huna kiti,mwisho unaachaaje kazi bila kujipanga kwanza si uzuzu huo.
 
Inakuwaje una taabika wakati una gari, kwani haliuziki ili upate mtaji, au Dar ni nafuu kutumia private car kuzunguka kuliko usafiri wa umma?

Kwa nini uliacha kazi wakati unajua kabisa una majukumu ya familia, tena watoto wapo medium na haukujiandaa kufanya biashara.

Hautakiwi kuacha kazi kama unakuwa haujui utafanya nini!
Atakuwa pia na tatizo flani huyu.... Na ukisoma vizuri alichokiandika ni kama alikuwa anamlazimishwa mwajiri wake amuongezee mshahara...Ni mtu ambaye anaujuzi flani adimu ila anatumia ujuzi wake kulazimisha mambo fulani afanyiwe.. Basi asipofanyiwa anaamua kuacha kazi..

Mimi naona huyu jamma anavuna matunda ya kiburi na ujeri wake..
 
Jamaa pumbavu kabisa hilo...Eti anafanya mishe mishe anapata pesa ya kuweka mafuta kwa ajili ya mizunguko ya kutafuta ajira.....then hapo hapo anampigia rafki yake wa O level mrushie buku kumi..???

Ukimsoma kwa makini anaoneka nan kiburi cha ujuzi alionao ndio maana alimlazimisha Muhindi eti ampandishie mshahara... Akatikisa kiberiti cha muhindi kwa kuacha kazi.. Bila hiyana Muhindi akamwambia OFF you go...

Jinga kabisa
 
Mm hii inaweza kuwa kweli ila tujifunze kuwa tunapopata tatizo hasa la kufutwa kazi au kupunguzwa lazima na sisi akili ifanye kazi haraka kwanza ni kupunguza matumizi ya nyumbani ambayo inawezekana sana kama jamaa apo namshangaa hana kazi ya nini ww kupushi gari angeuza akapata mtaji alafu anunue pikipiki used ya kumpeleka kwenye mishe zake na pia kuama penye kodi kubwa anapanga vyumba vitatu vya 30000 au 40000 unawaamisha wanafunzi kama wapo shule za msingi waende shule za serikali tujaribu kuchanganya akili fasta ili kujiokoa kwenye janga la kukosa kabisa kipato jamaa alikuwa na mtaji mzuri sema hakuwaza beyond siku zote marafiki si wa kuwaamini sana ni vizuri kujishusha na kukubali kurudi chini ili kuishi kulingana na maisha yalivyo kwa wakati uwoo
 
Atakuwa pia na tatizo flani huyu.... Na ukisoma vizuri alichokiandika ni kama alikuwa anamlazimishwa mwajiri wake amuongezee mshahara...Ni mtu ambaye anaujuzi flani adimu ila anatumia ujuzi wake kulazimisha mambo fulani afanyiwe.. Basi asipofanyiwa anaamua kuacha kazi..

Mimi naona huyu jamma anavuna matunda ya kiburi na ujeri wake..
Kama anaona anachokitoa sio sawa na anachokipokea hata akipata kazi nyingine namshauri adai ongezeko la mshahara.Adai tu kwa kweli.Haki bin Haki.Dhuluna tupa kule.
 
Inakuwaje una taabika wakati una gari, kwani haliuziki ili upate mtaji, au Dar ni nafuu kutumia private car kuzunguka kuliko usafiri wa umma?

Kwa nini uliacha kazi wakati unajua kabisa una majukumu ya familia, tena watoto wapo medium na haukujiandaa kufanya biashara.

Hautakiwi kuacha kazi kama unakuwa haujui utafanya nini!
Mi mwenyewe hapo nimeshangaa eti anapiga vizinga kwa wana halafu anatia mafuta kwenda kutafuta kazi kuna kipindi cha kurudi chini paki gari nyumbani panda daladala ukiwa na 10,000 hata siku mbili inakusogeza unafatilia michakato unaangalia uelekeo upo? km haupo na gari lenyewe uza ufanye mambo mengine mtu upo kwenye hali ngumu bado unang'ng'ana nyumba ya 500,000 kwa mwezi una hali ngumu bado unaenda hospitali za private kufanya nini km si kutafuta lawama tu kwa watu? Nilichojifunza huyu jamaa rafiki zake sio lakini yeye pia tatizo haishi kulingana na wakati!
 
mzabzab,
Sijui huwa mnatuchukuliaje wanawske..alwys mko negative!..bas kwa taarifa yako wanaume wetu ndo marafiki zetu na tunabebana balaa..wanaume wengi sana wakipatwa na jaribu wa kwanza kumchek ni mke!sio rafiki!pole yako

Mie mwanamke nitamchukulia kama chombo cha starehe basi. U wil never change my mind on that. Kamwe siwezi mtumaini mtu ambaye to begin with matatizo yote tunayoyapitia ni kwa sababu yake yeye. Never.
 
Mie mwanamke nitamchukulia kama chombo cha starehe basi. U wil never change my mind on that. Kamwe siwezi mtumaini mtu ambaye to begin with matatizo yote tunayoyapitia ni kwa sababu yake yeye. Never.
Weka akiba ya maneno mkuu, japo kila mtu yuko huru kuamini anachokiamini
 
Inakuwaje una taabika wakati una gari, kwani haliuziki ili upate mtaji, au Dar ni nafuu kutumia private car kuzunguka kuliko usafiri wa umma?

Kwa nini uliacha kazi wakati unajua kabisa una majukumu ya familia, tena watoto wapo medium na haukujiandaa kufanya biashara.

Hautakiwi kuacha kazi kama unakuwa haujui utafanya nini!
Umeongea point.
Always live below your means.
Keep in mind that living below your means doesn’t mean living badly. It means you need to prioritize your spending and focus on what is most important to you. It means “living smartly.”
 
Back
Top Bottom