Huu ndio uvaaji gani?

Sema hiyo ya kulonga na mutu kwa Dole la kati izingatiwe pia

Hivi alikuwa anamchamba au.!?
 
Vaa wewe vizuri kumshinda yeye ili upendwe wewe,tumia hiyo fursa coz unaonekana huna kazi yakufanya hadi kufuatilia mavazi ya wanaume.
 
Happy walking,tukutane Darajani Jmosi
 
Sikuona hii shem, sio nifike nianze kuhema kama nguruwe! Nilivyo mvivu sasa🤦🏽‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…