Huu ndio utendaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndio utendaji?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gideon Mwasabwite, Sep 19, 2012.

 1. G

  Gideon Mwasabwite Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tangu asubuhi nahangaika kutafuta majina ya waliopata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, cha ajabu sioni update yoyote kwenye ukurasa wao.
  Je kuna njia yoyote wengine mnaitumia kuyapata?
   
Loading...