Huu ndio umuhimu wa Lugha katika maendeleo

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Nchi nyingi zilizoendelea Elimu zao hutowa kwa kutumia Lugha mama ya kwao, Mfano Urusi Vyuo vingi wanatumia kufundishia kwa Kirusi.

Hii ina maana ya kuwa Lugha ni nyenzo muhimu kwenye kukuza maendeleo.

Tutumieni Lugha yetu vizuri.
 
Bado hatuna ajira za kutosha za kuwapa watu kwa kutumia mitahala kama hiyo unayotaka.
 
Nchi nyingi zilizoendelea Elimu zao hutowa kwa kutumia Lugha mama ya kwao, Mfano Urusi Vyuo vingi wanatumia kufundishia kwa Kirusi
.
Hii ina maana ya kuwa Lugha ni nyenzo muhimu kwenye kukuza maendeleo
.
Tutumieni Lugha yetu vizuri
Sisi hatuthamini lugha yetu.
Ukiwa huzingatii muda utaitwa Mswahili.
Ukiwa unakaa kwenye makazi duni utasikia wee unakaa Uswahilini.
Ukiwa hujui Kingereza unaonekana wee ni mbumbumbu was mwisho kabisa
 
Kudumaza maendeleo hii hutokana na kukibadilisha kile unachokisoma na kukileta katika utafasili wa lugha mama na kukifanyia kazi tatizo linqkuja kwenye utafasili hapo ndipo ufanisi unapunguwa
Naomba unipe na hasara za kutumia lugha za kigeni kwenye masomo!
 
Kudumaza maendeleo hii hutokana na kukibadilisha kile unachokisoma na kukileta katika utafasili wa lugha mama na kukifanyia kazi tatizo linqkuja kwenye utafasili hapo ndipo ufanisi unapunguwa
Umejibu kienyeji sana mkuu!
 
Back
Top Bottom