" Huu ndio ukweli mchungu " ambao CHADEMA hawataki kuusikia

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
" HUU NDIYO UKWELI MCHUNGU " AMBAO CHADEMA HAITAKI KUUSIKIA LAKINI NI LAZIMA USEMWE KAMA KWELI TUNAHITAJI UPINZANI IMARA KWA TAIFA.

" CHADEMA INAKUFA "

Mara nyingi kwa Mtu ambaye hajawahi kufiwa na Ndugu , Mke , Mzazi , Mtoto au Mtu yoyote Kipenzi Chake. Mikononi mwake , akiuguliwa Mpaka Kufikia hali ya Mgonjwa haielezeki Ukimuuliza Kuhusu Hali ya Mgonjwa huwa anaishia kusema tu hajambo hata Kama Ukweli anao Moyoni lakini hawezi Kuusema , Lakini Majibu hayo huwa hayazuii Muulizazi Kutambua hali ya Mgonjwa.

Kwa nini " CHADEMA INAKUFA ?

1. Viongozi wake Wengi Wamepoteza Mvuto Kwa Watu Kwa Sasa Ukilinganisha na Wakati Uliopita " Mvuto wa Dr Mashinji Si Sawa na aliokuwa nao Dr. Slaa Wala Mvuto wa Sasa wa Mbowe Si Ule wa Wakati Ule - Huu ni Ukweli ambao Ukiweka Ushabiki ni lazima Utaupinga.

2. Chama Kimekosa Muelekeo Baada ya Kuponyosha Agenda ya Kupambana na Ufisadi iliyookotwa na CCM Chini ya Dr. John Pombe Magufuli.

3. Lowassa ni tatizo Kubwa ndani ya Chadema naweza Kufananisha na Kuku aliyemeza CHURA " KITOVYALA" , Kumtema haiwezekani na Kummeza haiwezekani - namaanisha Chadema haiwezi tena Kuimba Wimbo wa Ufisadi Kwa Kuwa Kundi la Vinara wa Ufisadi lote liko nyuma ya Mzee Lowassa na haina Uwezo wa Kumwambia aondoke " Sababu akiondoka pia Inakufa.

4. Ushindani Uliopo Sasa Baina ya Chadema na CUF Chini ya Mwenyekiti PROFESA LIPUMBA Unaiweka Chadema Kwenye Wakati Mgumu Kujibu Hoja Zinazosemwa Kuwa (1) Chama ni Mali ya Mtu (2) Hakuna tofauti kati ya Chadema na CCM " Wote ni Wezi " (3)Mzee Lowassa ni FISADI na Mengine kibao.

5 . Kundi la CCM Kuhamia Chadema na Kundi la Chadema Kuhamia CCM , Ni ishara Mbaya Kwamba Chadema imegeuka Kuwa ya MAFISADI na CCM inawachukuwa wale waliokuwa wakiitwa MAKAMANDA , Mfano : Patrobas Katambi , Kitilya Mkumbo , David Kafulila na wengine wengi wanaohama Kila Kukicha likiwemo Kundi la Madiwani zaidi ya 30 Pamoja na Viongozi na Wanachama wasio na Majina Makubwa ambao hawatangazwi.

6. Mgogoro wa Ndani Kwa ndani Kuhusu namna Chama Kinavyo endeshwa " Baadhi Wakitaka Maamuzi yawe ya Watu Wengi na Yaongozwe na Katiba , Mwenyekiti akitaka Kiti Chake Kiongozi Maamuzi ya Mwisho Katika Chama. " Mfano : Kufutwa Chaguzi za Kanda.

7. Uamuzi Wa Baadhi ya Kiongozi Kupongeza Serikali ya JPM.

8. Kujiingiza Kwenye Mgogoro wa CUF Bila Kupima athari Zake.

9. Kutegemea Mtelemko Kama wa Serikali ya Mh. Jakaya Kiwete. " HAUPO".

TUSIFURAHIE CHADEMA KUPOTEA :

Kuna Wengi Wanaofurahia Kufa kwa vyama hivi hasa Wana CCM ila mimi nitakuwa tofauti kidogo na wao. Kufa kwa vyama hivi ni hasara kwetu sisi wananchi.

Hakuna Ubishi Kuwa Mh Magufuli kwa sasa anafanya mengi Makubwa ila tukumbuke kuwa Muda wake ukiisha tunaweza Kupata mtu mbovu kabisa. Bila vyama hivi vya Upinzani tutarudi kule kule kwenye Ubadhirifu Mkubwa wa Mali za Umma Kama Enzi za Richmond , Escrow n.k..Katika hali kama hii ni masikitiko makubwa sana Kuona Chadema nayo inapotea kwenye Ramani ya Siasa za Tanzania .

Itakuwa ni Kujidanganya kabisa kama bado Bado Kuna Mtu anaamini Chadema ya Sasa itaweza kudumu kwenye Siasa kwa miaka Mingine Walau Miwili tu Ijayo. Mpaka Kufika Mwaka 2020 Chadema itakwa tayari Kichwa Chini Miguu Juu Kama Mambo Yataendelea Kuwa hivi ninayoyaona.

Katika Vipindi ambavyo nimeshuhudia Vyama Vya Siasa Vinapitia Kwenye wakati mgumu , Hamnapo Kama Kipindi hiki Chadema kwa sasa ipo kwenye wakati mgumu kuliko nyakati zote katika historia yake...Kila Kukicha afadhali ya Jana... Huwezi Kupitisha Siku mbili bila Kusikia kiongozi wa Chama au Serikali anayetokana na Chadema amehama na Kujiunga na CCM ..... yaani kila siku ni watu wanaondoka tu.

Kila baada ya Muda ni Lazma Chama kikuu cha Upinzani kife. Tulianza na NCCR Baadaye CUF Sasa ni zamu ya Chadema iliyokuwa ikitamba na Kuitikisa CCM , Ghafla na Yenyewe inakumbwa na Ugonjwa Ule ule wa " SELFISH " ( Ubinafsi /U mimi ) Unaochochewa na Kujiamni Kupita Kiasi ( Over Confidence ) na Ulevi wa Kipato , Kinakumbwa na ugonjwa ule ule waliougua wenzeke.

Leo hii Kila Kinachosemwa Ndani ya Chadema : Utasiikia " Kwani yeye nani ? Wacha aende Chadema ni Kubwa Kuliko Yeye , Yeye aliikuta na Mwisho ataondoka na Chadema itabaki kama alivyoikuta " , Vivyo hivyo Kwa CUF Upo Msemo Usemao " CUF ni Kama Bahari haikai na Uchafu Kila Baada ya muda ni Lazima Uchafu Utoke na Bahari itabaki kuwa ' Shwari " Na NCCR ilikufa Kwa Ugonjwa Kama huu ikiamini Agustino Lyatoga Mrema alikuwa Kitu Kidogo Sana Kwa Vile aliikuta NCCR anaweza Kwenda na NCCR Ikabaki Salama , Matokeo yake Mambo yakawa Kinyume Chake.

Haya yote ni Matokeo ya Ulevi wa Kupata , Tunasubiri Muda tu Utuambie.
Na Salum Chilwa
 
Uchaguzi wa mwaka 2020 utafanyika huku vyama vya upinzani chama kikubwa kikiwa CHAUMA:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
*HIZI NI AKILI AU TAKATAKA?*

*Na Shilatu E.J*

Sote kwa pamoja yatupasa tujiulize mienendo na matendo yanayofanywa na Wapinzani nchini ni akili au takataka?

1. Jana walituambia hawataki Serikali ile dhaifu kwa sababu Rais ana tabasamu tu. Leo hii kaja Rais mkali waliyekuwa wanamtaka wamegeuka wanamwita dikteta! Hizi ni akili au takataka?

2. Jana wakasema Serikali inakamata dagaa, wanataka vigogo na Mapapa wauzaji wa madawa ya kulevya watajwe hadharani. Leo hii wanatajwa hadharani na kukamatwa, wamegeuka na kusema si vizuri kuwataja hadharani ni kuwadhalilisha. Hizi ni akili au takataka?

3. Jana walisema Serikali imejaa anasa kwa kulipana posho na safari za nje zimezidi. Leo hii hakuna posho, semina wala safari za nje wanasema vyuma vimekaza kwa sababu hakuna dezo dezo. Hii ni akili au matope?

4. Jana walisema mikataba ya madini inatunyonya, ivunjwe. Leo hii mikataba inachunguzwa, inarekebishwa wamegeuka na kuwa Watetezi wa mataifa ya nje waliokuwa wakiwalalamikia wanatunyonya kwenye madini. Hii ni akili au takataka?

5. Jana walisema si vizuri kuhama chama ili kuonyesha unamuunga mkono Rais. Leo hii anapoibuka kiongozi miongoni mwao na kumuunga mkono Rais Magufuli akiwa ndani ya vyama vyao hivyo hivyo wanamuona wa ajabu sana na kuanza kumuita msaliti, mnafki na kusahau kauli zao za awali! Hizi ni akili au takataka?

Ukigeugeu, unafki, uzandiki, uongo unafanya tuwe na shaka na akili zao, uzalendo wao na nia zao kwa Taifa

Vivuruge wasitupotezee muda Watanzania wa kuijenga Tanzania Mpya yenye Matokeo chanyA+. *Tuendelee kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli*

*Na Shilatu E.J*
 
Dharau za katiba, mahakama, Bunge, sheria za nchi, chuki za kutisha, visasi, kujichotea trillions toka hazina bila idhini ya Bunge huyu mtu ni janga kubwa la Taifa.
 
" HUU NDIYO UKWELI MCHUNGU " AMBAO CHADEMA HAITAKI KUUSIKIA LAKINI NI LAZIMA USEMWE KAMA KWELI TUNAHITAJI UPINZANI IMARA KWA TAIFA.

" CHADEMA INAKUFA "

Mara nyingi kwa Mtu ambaye hajawahi kufiwa na Ndugu , Mke , Mzazi , Mtoto au Mtu yoyote Kipenzi Chake. Mikononi mwake , akiuguliwa Mpaka Kufikia hali ya Mgonjwa haielezeki Ukimuuliza Kuhusu Hali ya Mgonjwa huwa anaishia kusema tu hajambo hata Kama Ukweli anao Moyoni lakini hawezi Kuusema , Lakini Majibu hayo huwa hayazuii Muulizazi Kutambua hali ya Mgonjwa.

Kwa nini " CHADEMA INAKUFA ?

1. Viongozi wake Wengi Wamepoteza Mvuto Kwa Watu Kwa Sasa Ukilinganisha na Wakati Uliopita " Mvuto wa Dr Mashinji Si Sawa na aliokuwa nao Dr. Slaa Wala Mvuto wa Sasa wa Mbowe Si Ule wa Wakati Ule - Huu ni Ukweli ambao Ukiweka Ushabiki ni lazima Utaupinga.

2. Chama Kimekosa Muelekeo Baada ya Kuponyosha Agenda ya Kupambana na Ufisadi iliyookotwa na CCM Chini ya Dr. John Pombe Magufuli.

3. Lowassa ni tatizo Kubwa ndani ya Chadema naweza Kufananisha na Kuku aliyemeza CHURA " KITOVYALA" , Kumtema haiwezekani na Kummeza haiwezekani - namaanisha Chadema haiwezi tena Kuimba Wimbo wa Ufisadi Kwa Kuwa Kundi la Vinara wa Ufisadi lote liko nyuma ya Mzee Lowassa na haina Uwezo wa Kumwambia aondoke " Sababu akiondoka pia Inakufa.

4. Ushindani Uliopo Sasa Baina ya Chadema na CUF Chini ya Mwenyekiti PROFESA LIPUMBA Unaiweka Chadema Kwenye Wakati Mgumu Kujibu Hoja Zinazosemwa Kuwa (1) Chama ni Mali ya Mtu (2) Hakuna tofauti kati ya Chadema na CCM " Wote ni Wezi " (3)Mzee Lowassa ni FISADI na Mengine kibao.

5 . Kundi la CCM Kuhamia Chadema na Kundi la Chadema Kuhamia CCM , Ni ishara Mbaya Kwamba Chadema imegeuka Kuwa ya MAFISADI na CCM inawachukuwa wale waliokuwa wakiitwa MAKAMANDA , Mfano : Patrobas Katambi , Kitilya Mkumbo , David Kafulila na wengine wengi wanaohama Kila Kukicha likiwemo Kundi la Madiwani zaidi ya 30 Pamoja na Viongozi na Wanachama wasio na Majina Makubwa ambao hawatangazwi.

6. Mgogoro wa Ndani Kwa ndani Kuhusu namna Chama Kinavyo endeshwa " Baadhi Wakitaka Maamuzi yawe ya Watu Wengi na Yaongozwe na Katiba , Mwenyekiti akitaka Kiti Chake Kiongozi Maamuzi ya Mwisho Katika Chama. " Mfano : Kufutwa Chaguzi za Kanda.

7. Uamuzi Wa Baadhi ya Kiongozi Kupongeza Serikali ya JPM.

8. Kujiingiza Kwenye Mgogoro wa CUF Bila Kupima athari Zake.

9. Kutegemea Mtelemko Kama wa Serikali ya Mh. Jakaya Kiwete. " HAUPO".

TUSIFURAHIE CHADEMA KUPOTEA :

Kuna Wengi Wanaofurahia Kufa kwa vyama hivi hasa Wana CCM ila mimi nitakuwa tofauti kidogo na wao. Kufa kwa vyama hivi ni hasara kwetu sisi wananchi.

Hakuna Ubishi Kuwa Mh Magufuli kwa sasa anafanya mengi Makubwa ila tukumbuke kuwa Muda wake ukiisha tunaweza Kupata mtu mbovu kabisa. Bila vyama hivi vya Upinzani tutarudi kule kule kwenye Ubadhirifu Mkubwa wa Mali za Umma Kama Enzi za Richmond , Escrow n.k..Katika hali kama hii ni masikitiko makubwa sana Kuona Chadema nayo inapotea kwenye Ramani ya Siasa za Tanzania .

Itakuwa ni Kujidanganya kabisa kama bado Bado Kuna Mtu anaamini Chadema ya Sasa itaweza kudumu kwenye Siasa kwa miaka Mingine Walau Miwili tu Ijayo. Mpaka Kufika Mwaka 2020 Chadema itakwa tayari Kichwa Chini Miguu Juu Kama Mambo Yataendelea Kuwa hivi ninayoyaona.

Katika Vipindi ambavyo nimeshuhudia Vyama Vya Siasa Vinapitia Kwenye wakati mgumu , Hamnapo Kama Kipindi hiki Chadema kwa sasa ipo kwenye wakati mgumu kuliko nyakati zote katika historia yake...Kila Kukicha afadhali ya Jana... Huwezi Kupitisha Siku mbili bila Kusikia kiongozi wa Chama au Serikali anayetokana na Chadema amehama na Kujiunga na CCM ..... yaani kila siku ni watu wanaondoka tu.

Kila baada ya Muda ni Lazma Chama kikuu cha Upinzani kife. Tulianza na NCCR Baadaye CUF Sasa ni zamu ya Chadema iliyokuwa ikitamba na Kuitikisa CCM , Ghafla na Yenyewe inakumbwa na Ugonjwa Ule ule wa " SELFISH " ( Ubinafsi /U mimi ) Unaochochewa na Kujiamni Kupita Kiasi ( Over Confidence ) na Ulevi wa Kipato , Kinakumbwa na ugonjwa ule ule waliougua wenzeke.

Leo hii Kila Kinachosemwa Ndani ya Chadema : Utasiikia " Kwani yeye nani ? Wacha aende Chadema ni Kubwa Kuliko Yeye , Yeye aliikuta na Mwisho ataondoka na Chadema itabaki kama alivyoikuta " , Vivyo hivyo Kwa CUF Upo Msemo Usemao " CUF ni Kama Bahari haikai na Uchafu Kila Baada ya muda ni Lazima Uchafu Utoke na Bahari itabaki kuwa ' Shwari " Na NCCR ilikufa Kwa Ugonjwa Kama huu ikiamini Agustino Lyatoga Mrema alikuwa Kitu Kidogo Sana Kwa Vile aliikuta NCCR anaweza Kwenda na NCCR Ikabaki Salama , Matokeo yake Mambo yakawa Kinyume Chake.

Haya yote ni Matokeo ya Ulevi wa Kupata , Tunasubiri Muda tu Utuambie.
Na Salum Chilwa
Well sayed
 
Wapumbavu kama nyie ndiyo chanzo cha nchi za Afrika kutukanwa na Trump. Miaka 56 chama madarakani katika nchi yenye utajiri mkubwa sana. South Korea na Malaysia kuna wakati kiuchumi tulikuwa tuko sawa nao na nchi hizi mbili hazina utajiri mkubwa wa rasilimali kama Tanzania lakini leo hii zenyewe zimepaa kiuchumi wakati sisi agenda kubwa ya chama tawala ni kununua Wabunge na Madiwani ili kuua upinzani na chenyewe kiendelee kung’ang’ania madarakani pamoja na kuwa kuna USHAHIDI TOSHA KABISA kwamba kuongoza nchi kumewashinda.
 
Demokrasia ndani ya upinzani wa Tanzania imememinywa sana, kunakuwa na kiongozi anatawala miaka 15, kana kwamba hakuna wengine - Prof. Benson Banna AzamTV on Twitter
 
Wapumbavu kama nyie ndiyo chanzo cha nchi za Afrika kutukanwa na Trump. Miaka 56 chama madarakani katika nchi yenye utajiri mkubwa sana. South Korea na Malaysia kuna wakati kiuchumi tulikuwa tuko sawa nao na nchi hizi mbili hazina utajiri mkubwa wa rasilimali kama Tanzania lakini leo hii zenyewe zimepaa kiuchumi wakati sisi agenda kubwa ya chama tawala ni kununua Wabunge na Madiwani ili kuua upinzani na chenyewe kiendelee kung’ang’ania madarakani pamoja na kuwa kuna USHAHIDI TOSHA KABISA kwamba kuongoza nchi kumewashinda.
Kama ni kweli kuwa wabunge na madiwani wa upinzania wananunulika then hawafai kupewa nchi bora tuendelee na CCM yetu
 
Na hao waliouza rasilimali za nchi kwa wazungu nao hawafai maana miaka nenda miaka rudi nchi haiendi kokote tia akili kichwani acha UZWAZWA.

Kama ni kweli kuwa wabunge na madiwani wa upinzania wananunulika then hawafai kupewa nchi bora tuendelee na CCM yetu
 
26239144_934230340086266_597040744068313738_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom